BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Elewa jambo, Lissu kaomba kuonana na Samia akakubaliwa, Chadema Tz licha ya kumuandikia barua Samia ya kuonana nae walijibiwa watapangiwa siku lakini hiyo siku haikuwahi kufika, usikurupuke tafakari kwanza ndio uandike.
Yaani ni mapumbavu balaa haya madude ya lumumba hawajui watetee lipi au wapinge lipi yapo tu yanatembea kama majongoo bila ya kujua mbele kuna nini.
 
Saa ngapi tunaanzisha Space kimtukana Lissu katusaliti.
Ritz za miaka? Ulitoweka Sana kipindi cha JPM kabisa ukafufukia Kwa mama yetu Samia. Hiyo meeting isikushangaze. Ni well organised inside job ya Chadema. Bado tutashangazwa na mengi. Mama anaijenga nchi upya baada ya kuporomoka miaka 5 iliyopita. Mungu ni fundi Sana mkuu. Tumpigie Mungu makofi ya Shukrani.
 
Mku mm ni ccm na kumbuka Tanzania Upinzani bila Chadema haupo ila wapo watakao kataa kwa chuki zao tuu.
Waliopitia au wanayopitia Chadema hakuna chama chochote hapa Nchi kilichowahi kupitia
 
CCM Chama chenye watu wenye akili nyingi sana

Will always be proud of the ruling Party

CCM ipi, hii iliyowapoteza akina Ben Saanane na Azory?. Iloyofungua mashtaka ya uongo dhidi ya mbowe?. Wanaoibeba CCM Ni Marais wa kiislam wenye hofu ya Mungu, Kama mwinyi aliyekubali soko huria na vyama vingi, kikwete aliruhusu bunge kujadili Mambo muhimu kwa uwazi na vyama kufanya siasa kwa Uhuru na Rais Samiah nadhani anahitaji Hilo pia. CCM Kama CCM Ni hovyo kabisa haistahili basi tu inalindwa na dola.
 
Akiwemo mke wako analiwa na Martin kwa kutumia hela hiyona taarifa unapewa na ndcho kinachokuuma hicho.
 
Ni furaha sana kuona kutaniko la viongozi hawa, maombi na matarajio yangu hio ijumaa ya tarehe 18 mwezi wa pili 2022 itakuwa siku ya furaha kwa kiongozi kuachiliwa huru kutokana na mashtaka ya kisisa.

Tumaini langu kutainuka nyakati mpya kwa nchi yetu, kupanda na kushuka kupo sana, tusiwe wenye kulipa kisasa wakati tunapo pitia nyakati ngumu.

Tanzania ni kubwa kuliko chama na mtu yoyote.
 
Rais anaonesha ukomavu wa kisiasa. Tanzania ni muhimu kuliko mama Samia, Lissu, CCM au CDM. Ikitokea vita wote tutatoka kuipigania Tanzania yetu. Tuliwahi kufanya hivyo! Tanzania ni wamoja. Tofauti za itikadi ni sawa tu na ushindani wa Yanga na Simba. Timu ya Taifa si ya Yanga wala Simba. Hongereni mama Samia na Tundu Lissu kwa kuvumiliana na kuonesha umuhimu wa Taifa- The State. Tukielewana hivyo Tanzania itaendelea kama Ulaya na siyo kama Afrika!
 
Tundu aliweza kualikwa na kutembelea sehemu mbalimbali kutoa na kuongelea hali ya kisiasa hapa nchi kipindi cha Devil. Sasa mama anataka kujenga maridhiano ya kitaifa kumbuka huyu Tundu aliondolewa na hao mabeberu ambao walimsindikiza mpaka Airport. Sasa ni karata zimechezwa tu ili kuonyesha mabeberu kuwa mama ni binadamu na sio shetani. Wakae mkao wa kula akina Sirro na wenzake. Uzuri wa Tundu hana kaba la kuficha siri mama akimchanganya anatema yote waliyoongea.
 
December 2020 baada ya uchafuzi Freeman Mbowe aliashaandika barua kwa Pombe na kuomba kikao cha majadiliano na akaomba tena live kwenye sherehe za uhuru m
Mwanza ila Pombe akakwepa kukutana na Chadema.
Baada ya kifo cha Pombe tena Freeman Mbowe aliandika barua kuomba kukutana na Samia na hili ameshasema mara kadhaa hadharani ila Samia hakuwahi ketenga muda wa kukutana na chadema, juzi Jaji Mutungi kaita mkutano wake wa kipuuzi ambao chadema na nccr hawakwenda coz haukua mkutano wa majadiliano na rais bali mkutano wa rais kuhutubia na kuwachamba wapinzani.

Sasa leo Samia amepatikana peke yake bila wapambe Ubeligiji, majadiliano yamefanyika ana kwa ana na Lissu na matokeo yake Mataga Pori mmechukia mmekuja na story za kujitilisha huruma kama ndo mmetangaziwa msiba wa mzee wenu Pombe 🤣🤣🤣
 
Hiyo ndo tunayoitaka wananchi sisi hatutaki uadui ndani ya nchi yetu
 
Kama alikubali kosa subiri afungwe. Hivi ni Rais gani atapenda kuaibika kiasi kile akiwa nje ya nchi mashahidi wanajamba na kujinyea vizimbani? Yaani ukweli tunakiaibisha Chama chetu CCM. Mimi kama mwanaCCM msafi sitaki kabisa uchafu ambao unaliaibisha Taifa hasa kipindi hiki ambacho Mungu ametupa Rais wa kurejesha tena Tanzania katika USO wa DUNIA. Hongera Sana Mwenyekiti wetu SSH na Rais wa watu wote Tanzania.
 
Chadema ni chama kinachotumia sana Diplomasia kumbumbuka alichoongea Mbowe alipopewa nafasi na Magufuli kuongea siku ile ya Uhuru.
Kwani Lisu amefuata msimamo wa chama chake.
Hongereni Chadema waacheni wanaowabeza kwani hawana nafasi mliyonayo kwenye mioyo ya Watanzania na Duniani kwani Mabalozi wanaohudhuria ktk kesi ya Mbowe ni ushahidi tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…