Kwani amekwambia ana haja ya kula pasaka?Kitendo cha Mh. Mbowe kunyoosha mkono mahakamani tafsiri yake ilikuwa amekubali yaishe ni tofouti na watu wa nje walivyoitafasiri..
Mbona Pasaka anailia nyumbani kwake mwaka huu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani amekwambia ana haja ya kula pasaka?Kitendo cha Mh. Mbowe kunyoosha mkono mahakamani tafsiri yake ilikuwa amekubali yaishe ni tofouti na watu wa nje walivyoitafasiri..
Mbona Pasaka anailia nyumbani kwake mwaka huu..
Unapenda jibu gani nikujibu kamanda?Vipi unamsapoti mama au bado unalinda legacy?
Yaani ni mapumbavu balaa haya madude ya lumumba hawajui watetee lipi au wapinge lipi yapo tu yanatembea kama majongoo bila ya kujua mbele kuna nini.Elewa jambo, Lissu kaomba kuonana na Samia akakubaliwa, Chadema Tz licha ya kumuandikia barua Samia ya kuonana nae walijibiwa watapangiwa siku lakini hiyo siku haikuwahi kufika, usikurupuke tafakari kwanza ndio uandike.
Nimeshakuelewa usipate shida.Unapenda jibu gani nikujibu kamanda?
Ritz za miaka? Ulitoweka Sana kipindi cha JPM kabisa ukafufukia Kwa mama yetu Samia. Hiyo meeting isikushangaze. Ni well organised inside job ya Chadema. Bado tutashangazwa na mengi. Mama anaijenga nchi upya baada ya kuporomoka miaka 5 iliyopita. Mungu ni fundi Sana mkuu. Tumpigie Mungu makofi ya Shukrani.Saa ngapi tunaanzisha Space kimtukana Lissu katusaliti.
Sina shida hata kidogo.Nimeshakuelewa usipate shida.
Mku mm ni ccm na kumbuka Tanzania Upinzani bila Chadema haupo ila wapo watakao kataa kwa chuki zao tuu.Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.
Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
CCM Chama chenye watu wenye akili nyingi sana
Will always be proud of the ruling Party
Akiwemo mke wako analiwa na Martin kwa kutumia hela hiyona taarifa unapewa na ndcho kinachokuuma hicho.Mwambie martin Maranja Masese ajiandae kurudi Tarime akaendelee mashamba yake ya ndumu, alijifanya kuhama Tarime eti aje Dar awe anaripoti twitter kesi ya Mbowe na akawa anachangisha wananchi , amelazimisha chama kimemlipa mamia ya mamilioni, halafu anazitumia kwenye pombe na anasa na wanawake wa Dsm
Rais anaonesha ukomavu wa kisiasa. Tanzania ni muhimu kuliko mama Samia, Lissu, CCM au CDM. Ikitokea vita wote tutatoka kuipigania Tanzania yetu. Tuliwahi kufanya hivyo! Tanzania ni wamoja. Tofauti za itikadi ni sawa tu na ushindani wa Yanga na Simba. Timu ya Taifa si ya Yanga wala Simba. Hongereni mama Samia na Tundu Lissu kwa kuvumiliana na kuonesha umuhimu wa Taifa- The State. Tukielewana hivyo Tanzania itaendelea kama Ulaya na siyo kama Afrika!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungu na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tindu Lissu.
Ni baada ya Lissu kuomba kuonana naye.
Walizungumzia mambo mbalimbali kuhusu usitawi wa Tanzania.
Pia, soma
1). Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi
2). Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi
View attachment 2121277
View attachment 2121284View attachment 2121285
View attachment 2121326
Huna ujualoMbowe akiachiwa ni kwa sababu serikali imekosa ushahidi wa kutosha lakini si kwasababu Rais kataka!
Ngoja nisubirie uviccm na mataga watasemajeHiii habari chungu sana kwa Bavicha
December 2020 baada ya uchafuzi Freeman Mbowe aliashaandika barua kwa Pombe na kuomba kikao cha majadiliano na akaomba tena live kwenye sherehe za uhuru mWale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.
Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
Hiyo ndo tunayoitaka wananchi sisi hatutaki uadui ndani ya nchi yetuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungu na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tindu Lissu.
Ni baada ya Lissu kuomba kuonana naye.
Walizungumzia mambo mbalimbali kuhusu usitawi wa Tanzania.
Pia, soma
1). Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi
2). Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi
View attachment 2121277
View attachment 2121284View attachment 2121285
View attachment 2121326
Kama alikubali kosa subiri afungwe. Hivi ni Rais gani atapenda kuaibika kiasi kile akiwa nje ya nchi mashahidi wanajamba na kujinyea vizimbani? Yaani ukweli tunakiaibisha Chama chetu CCM. Mimi kama mwanaCCM msafi sitaki kabisa uchafu ambao unaliaibisha Taifa hasa kipindi hiki ambacho Mungu ametupa Rais wa kurejesha tena Tanzania katika USO wa DUNIA. Hongera Sana Mwenyekiti wetu SSH na Rais wa watu wote Tanzania.Ile lugha iliyotumika pale ni watu wachache waliielewa, huoni baada ya kunyoosha mkono kesho yake serikali iliona hakuna haja ya kuleta mashahidi wengine.
Mbowe alikubali kosa hivyo serikali imeona haina haja ya kuendelea kumshtaki, hivyo hivi karibuni anatoka mahabusu.
Hawachelewi hawa kumuita msaliti.Sasaa hivi Lissu ataitwa msaliti