Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliokuwa wanalisha familia zao kwa kuchangisha wananchi kwa ajili ya kesi ya Mbowe sijui Wana hali ganiDecember 2020 baada ya uchafuzi Freeman Mbowe aliashaandika barua kwa Pombe na kuomba kikao cha majadiliano na akaomba tena live kwenye sherehe za uhuru m
Mwanza ila Pombe akakwepa kukutana na Chadema.
Baada ya kifo cha Pombe tena Freeman Mbowe aliandika barua kuomba kukutana na Samia na hili ameshasema mara kadhaa hadharani ila Samia hakuwahi ketenga muda wa kukutana na chadema, juzi Jaji Mutungi kaita mkutano wake wa kipuuzi ambao chadema na nccr hawakwenda coz haukua mkutano wa majadiliano na rais bali mkutano wa rais kuhutubia na kuwachamba wapinzani.
Sasa leo Samia amepatikana peke yake bila wapambe Ubeligiji, majadiliano yamefanyika ana kwa ana na Lissu na matokeo yake Mataga Pori mmechukia mmekuja na story za kujitilisha huruma kama ndo mmetangaziwa msiba wa mzee wenu Pombe 🤣🤣🤣
Sasa tafuteni jinsi ya kuishi mjini, upepo umebadilika, mmekula Hela zetu wanachadema kwa muda, Sasa utapeli umefikia kikomoAkiwemo mke wako analiwa na Martin kwa kutumia hela hiyona taarifa unapewa na ndcho kinachokuuma hicho.
Kwani nyie mnaridhika na nini?naona Mama anajaribu kuishi kama JK....good progress..
Angalizo: afahamu tu hawezi kumridhisha kila mtu...
Una akili fupi sana, sijui kama huwa ushirikisha kichwa Chako. Hapa ni chadema imemfuata Rais au Rais ameifuata chadema?. Habari mbaya ni kwenu mliodhani chadema itaipigia serikali magoti.Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.
Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
Wamefurahi sana since jana baada ya mawakili wa serikali kushindwa kuleta mashahidi 11 akiwepo Boaz aliyeogopa kutapishwa damu kizimbani.Waliokuwa wanalisha familia zao kwa kuchangisha wananchi kwa ajili ya kesi ya Mbowe sijui Wana hali gani
Hivi Mbowe ameshafungwa? Hivi Mwaka 2020 kabla ya October ni Nani alikuwa Rais wa Nchi? Unafahamu historia ya kesi ya Mbowe ilianza lini kusetiwa? Usimsingizie our beloved Madam President. Usimtie damu mikononi mwake. Sasa mtashangazwa na hatima ya Kesi ya Mbowe.Mimi siyo CCM na wala sijawahi kuwa ila naelewa jinsi Dunia inavyokwenda na naweza ku connect dots, Tanzania siyo ya kwanza kufanyiwa umafia.
Ila kumekaribia kukucha, soon chadema watamjua Adui yao ni nani na kwa nini Mbowe yuko Jela, halafu bado kuna tifu litakuja la akina Makamba Zito vs Tundu Lisu kugombania power walioahidiana.
Kumbuka pamoja na chadema kumchukia Magufuli lkn Magufuli hakuwahi kumfunga Mbowe hata siku moja, Mbowe kafungwa na Uongozi wa Samia, sasa kwa nini ?
Go figure …
Haswa mkuu.Viva our darling mama and our beloved President, her Excellency, the only Excellency with a heart full of flesh. Be blessed madam President. We love you. Uchama tuweke pembeni tujenge nchi.
Hahahaha😀😀😀😀😀Vipi unamsapoti mama au bado unalinda legacy?
Safi sana mh rais karibu nyumbani Tundu Lisu tunakupenda sanaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungu na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tindu Lissu.
Ni baada ya Lissu kuomba kuonana naye.
Walizungumzia mambo mbalimbali kuhusu usitawi wa Tanzania.
Pia, soma
1). Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi
2). Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi
View attachment 2121277
View attachment 2121284View attachment 2121285
View attachment 2121326
Inabidi wajibaraguze.Sijui itakuwaje kwa wale bavicha ambao hawatak maridhiano
Wasage chupa wanywe. Tunataka Amani. Waliokimbia nchi warejee. Walioteswa wapate faraja. Ninatamani siku Moja Mh. Rais azitembelee na kuzipa faraja zile familia zote ambazo watu wao walipotelea kusikojukikana.Sijui itakuwaje kwa wale bavicha ambao hawatak maridhiano
Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.
Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
Hivi Mbowe ameshafungwa? Hivi Mwaka 2020 kabla ya October ni Nani alikuwa Rais wa Nchi? Unafahamu historia ya kesi ya Mbowe ilianza lini kusetiwa? Usimsingizie our beloved Madam President. Usimtie damu mikononi mwake. Sasa mtashangazwa na hatima ya Kesi ya Mbowe.
Lissu hawezi kushirikisha viongozi wa CHADEMA vichaa waliobaki Tanzania, hii kaipiga mwenyeweNa kwa akili yako finyu unadhani TL kajiamulia mwenyewe kukutana na SSH bila kuushirikisha uongozi wa juu wa CDM?
Acha kupandikiza fitina. Mara ngapi Mbowe aliomba kukutana na SSH akapuuzwa?
Leo hii SSH mwenyewe ndio kaomba kukutana na kiongozi wa CDM.
CHADEMA ni level ingine ndugu!