Sikujua mkuu kama leo ni siku ya mtoto.November 20,leo ni International Day of the child.
Kwa maana hiyo heading ingeweza kuwa,
Leo ikiwa ni siku kimataifa ya mtoto,mtoto ajinyonga Buguruni
That is the stars for you;
Kwanza jengo linaporomoka siku Rais Samia anapopanda ndege kwenda Rio.
Halafu mtoto wa miaka kumi anajinyonga on International Day of the child.
13 at least tutasema keshaingi kwenye teen age. Anaweza kupata depressionWatoto nao wanapata sonona,
Nakumbuka niliwahi shuhudia mtoto wa miaka 13 alidakwa akijaribu kujinyonga
Alikuwa kiranja wa bweni, akidaka wenzake wanaingia na chakula bwenini anawasemea kwa walimu.
Wenzake wakawa wanamtenga, hawaongei nae kabisa.
Ndo akafikia huko....
Mama mtoto analia sana, anasema mtoto mwenyewe amempata Kwa kufanyiwa Upasuaji.13 at least tutasema keshaingi kwenye teen age. Anaweza kupata depression
Lkn 10 ni mdogo maskin
Na kwa nini arudi shule na kufanya shughuli zake kama kawaida! Then ndio achukue maamuzi ya kujinyonga?
Sidhani kama ana akili ya kufanya yote hayo. Huyo inawezekana sn kanyongwa then kawekwa tu ionekame ka commit suicide
Rip mtt mzuri
Very bad Omen.November 20,leo ni International Day of the child.
Kwa maana hiyo heading ingeweza kuwa,
Leo ikiwa ni siku kimataifa ya mtoto,mtoto ajinyonga Buguruni
That is the stars for you;
Kwanza jengo linaporomoka siku Rais Samia anapopanda ndege kwenda Rio.
Halafu mtoto wa miaka kumi anajinyonga on International Day of the child.
Hapa ndipo umuhimu wa forensic unapoonekanaAu kauliwa halafu kawekwa pale kwenye kitanzi kama geresha.
kabla ya askari kufika watu kibao wamesha jazana ndani pale.Hapa ndipo umuhimu wa forensic unapoonekana
Waafrika utafikiri bila fikra za uchawi tungeishi milele. Mtoto anaweza kukerwa kufanyiwa ukatili wa kijinsia na mwalimu wake na kutishwa akisema atauawa akaachoka akaamua kujinyonga.Zipo za chini chini
Wengine wameshaingiza imani za kishirikina maana hawa wazazi ni Wakinga kwahiyo kwamba huenda ni kafara wazazi wametoa π€ Kwamba itakuwaje mtoto wa miaka 10 ajinyonge?
Au kauliwa halafu kawekwa pale kwenye kitanzi kama geresha.
Bila shaka polisi watakuja na majibu ya yenye kueleweka
Mida ya tukio aliyekuwepo nyumbani ni dada wa kazi na kaka Wa marehemu ambaye Kamaliza darasa la saba nadhani mwaka huu au mwaka jana.Dada wa kazi na Fundi wahojiwe vizuri, ila sitashangaa pia watu wengine kuwa wamehusika ila kwa ujanja wakawa mbali na nyumbani wakati wa tukio.
Fundi kazi anayo, tumeshinda wote leo tunapiga stori akaja kuchukuliwa mida ya jioni kwamba kuna mlango umefungwa kwa ndani aende akafungue.Dah Huyo dogo apumzike kwa amani,
Ila makende ya bwana fundi leo shughuli ipo
Hata kwenye kesi za chadema mkuu?Sijawahi kusikia matokeo ya uchunguzi wa polisi
Mambo ni mengi , tuwaombee watoto wetu huenda kuna chagamoto imemchosha ukizingatia ukatili umekua mwingi especially ulawiti ubakaji nk.Habari za usiku wakuu! Kuna mtoto wa miaka 10 amekutwa amejinyonga chumbani kwake hapa Buguruni.
Maelezo ya kina hayajapatikana ila kwa maelezo ya awali ni kwamba mtoto katoka shule mida ya saa tisa jioni na baada ya kufika nyumbani amefanya shughuli ndogo ndogo na baada ya muda umeingia chumbani na kujifungia humo.
Dada wa kazi baada ya kuona huyu mtoto kajifungia ndani kwa muda mrefu akaanza kupiga hodi ili mtoto afungue mlango.
Amepiga hodi sana baada ya kuona kimya na tayari hapo ni jioni kama saa 11 ikabidi atafutwe fundi avunje kitasa waingie ndani.
Baada ya kuingia ndani ndipo wakamkuta mtoto amejinyonya kwa kufunga kamba kwenye dirisha.
Polisi wamekuja wameuchukua mwili wa mtoto, dada wa kazi, kaka wa marehemu na fundi aliyevunja kitasa cha mlango.
Maelezo zaidi watakuwa nayo polisi baada ya kufanya uchunguzi wao
Peleka ushahidi polisi au mahakamaniKabisa ana stress yoyote huyo wamemuua.