Miaka7 kwa kuvunja mlango wa nyumba yako mwenyewe ili ujaribu kuokoa uhai wa nduguyo?Huyo fundi ,dada wa kazi ,kaka wa marehemu wamekurupuka kuvunja mlango bila kufuata process za kuita mjumbe/mwenyekiti wa mtaa then wao ndiyo wawaite polisi then wajke kuvunja mlango ,kimasihara masihara unaweza kwenda kuisaidia polisi hata miaka 7 kwa uzembe tu.
We nawe huna akili kabisa, mimi kuna mjukuu wangu yupo darasa la pili somewhere, kuna siku mwalimu alimchapa kisa kavaa sweta la kawaida ajavaa lile la rangi ya taifa,na sweta wakalichukua,kumbuka siku iyo mvua ilikuwa imenyesha, baridi,na mtoto ana miaka nane wa kike tena, basi wakampora sweta wakalifungia stoo, ok,Unachuki na Walimu we bumunda.
Kwanini USISEME wazazi wake?
Kama aliuziwa na Mwalimu SI angejinylngea vyoo vya shuleni??
Tumia akili bichwa kubwa akili kisoda
Wewe wasema ,je vyombo vya dola vitajua kama kweli ulikuwa na nia ya kwenda kumsaidia? Katika hiyo process ya uchunguzi wa kujua nia yake basi inaweza kuchukua si chini ya miaka 7.Miaka7 kwa kuvunja mlango wa nyumba yako mwenyewe ili ujaribu kuokoa uhai wa nduguyo?
Mpaka majirani wote waliokua wanasaidia kwenye mchakato na kutoa ushauri nao 7 years?Wewe wasema ,je vyombo vya dola vitajua kama kweli ulikuwa na nia ya kwenda kumsaidia? Katika hiyo process ya uchunguzi wa kujua nia yake basi inaweza kuchukua si chini ya miaka 7.
Mpaka majirani wote waliokua wanasaidia kwenye mchakato na kutoa ushauri nao 7 years?
Duh!! Aisee... 🤔🤔"Hamza Kanuni" -Sheria haina macho.
Kama majirani nao wameshiriki kuvunja mlango hao waliochukuliwa kama watawataja na wao wanaweza kuchukuliwa kwenda kuisaidia polisi kwenye uchunguzi na ikithibitika kama hawahusiki wanaachiwa wote ,tatizo uchunguzi wa kesi kama hizo unachukua muda mreffu.
Ile kamba ina kazi kubwa kwenye ulimwengu mwinginekabla ya askari kufika watu kibao wamesha jazana ndani pale.
Si unajua mazingira ya uswahilini na elimu kwenye haya mambo ni kama hatuna.
Walichukua kisu wakakata ile kamba aliyojinyongea marehemu (nimesikia wanasema hili ni kosa lilifanyika)
Kwamba ilitakiwa askari ndiyo waje wamtoe pale kwenye kitanzi.
Sasa bila kuvunja mlàngo kujua humo ndani kuna nini wangefanyaje? Maana aliyeita fundi kuvunja mlango na fundi wote lock up. Wewe unaona sawa?Msaada gani huo wakushusha maiti kutoka kwenye kamba ya kujinyongea bila ya jeshi la polisi kuwepo!? Labda mngesema mtoto mmemkuta kwenye kamba anapaparika ikabidi mumuwai kukata kamba hapo kidogo mnaweza mkaeleweka, tena na lazima mtoto angekua hai sema taabani!!
Miaka ya nyuma Sana nikiishi wilaya ya hai Kuna kifo kilitokea mtoto akajinyonga na shuka lililokuwa limeanikwa kwenye kamba, balaa lilikuja kwenye kuchimba kaburi watu walipigika ila kaburi liligoma ikabidi azike hivyo hivyo kwenye kaburi fupiKamba iliyotumika ni zile kamba za vipochi vya akina dada.
Sasa bado kuna sintofahamu maana dogo alikuwa bonge yule, ukiangalia na ile kamba pale ilipofungwa bado kuna kama ukakasi.
Kwa chandarua au pazia sishangai kwa mtt. Pengine kajinyonga bahati mbaya kwenye kuchezaHuyu miaka 6 alijinyonga. Duniani kuna maajabuMtoto ajinyonga kwa chandarua, matukio yashika kasi
Zimwi la watoto kujikatisha uhai kwa kujinyonga limeendelea kutikisa mwaka 2023 na kuleta taharuki. Miongoni mwa matukio hayo ni la hivi karibuni lililotokea wilayani Temeke.www.mwananchi.co.tz
Anaishi na wazazi wote wawili baba na mama."Polisi wamekuja wameuchukua mwili wa mtoto, dada wa kazi, kaka wa marehemu na fundi aliyevunja kitasa cha mlango"
haishi na wazazi wake (baba na mama)?
je anaishi na mama wa kambo?
Kwanini mkuu? Yaaani mtoto mdogo kaifungua hakuna response nishindwe kuvunja mlango wa nyumba yangu?Kosa litakalogharimu wengi ( Kuvunja mlango ) i
Kwanini mkuu? Yaaani mtoto mdogo kaifungua hakuna response nishindwe kuvunja mlango wa nyumba yangu?
Tatizo lililopo baadhi ya muvi ambazo zinaonyeshwa majumbani zinabeba maudhui ambazo siyo sahihi kuangaliwa na watoto.Wabanwe kende ukweli ujulikane.
Miaka 10 anajinyonga kwa sababu ipi?
Hana mpenzi hana stress za pesa nk
Ni huzuni kwa kwelii kwa mtoto umri uo kujinyongaHabari za usiku wakuu! Kuna mtoto wa miaka 10 amekutwa amejinyonga chumbani kwake hapa Buguruni.
Maelezo ya kina hayajapatikana ila kwa maelezo ya awali ni kwamba mtoto katoka shule mida ya saa tisa jioni na baada ya kufika nyumbani amefanya shughuli ndogo ndogo na baada ya muda umeingia chumbani na kujifungia humo.
Dada wa kazi baada ya kuona huyu mtoto kajifungia ndani kwa muda mrefu akaanza kupiga hodi ili mtoto afungue mlango.
Amepiga hodi sana baada ya kuona kimya na tayari hapo ni jioni kama saa 11 ikabidi atafutwe fundi avunje kitasa waingie ndani.
Baada ya kuingia ndani ndipo wakamkuta mtoto amejinyonya kwa kufunga kamba kwenye dirisha.
Polisi wamekuja wameuchukua mwili wa mtoto, dada wa kazi, kaka wa marehemu na fundi aliyevunja kitasa cha mlango.
Maelezo zaidi watakuwa nayo polisi baada ya kufanya uchunguzi wao