Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
mnakula uchafu
 
kuna jamaa walikuaga wanagonga supu ya utumbo uwanja wa fisi usiku kwenye vibatari akashangaa anatafuna lisaa lizima mzigo hausagiki kusogea kusogea kwenye mwanga bhana kumbe ule sio utumbo ni kondomu na janaba lake alilia kama mtoto
 
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
Sio kweli wenye upeo mdogo utawapeleka kama maji yanavyofuata mkondo
 
Kwa uroho mtalishwa MBWA!!!
 
Sio kweli wenye upeo mdogo utawapeleka kama maji yanavyofuata mkondo
Kitu gani siyo kweli mkuu?
Nakuomba njoo hapa buguruni muda huu nikununulie vitu vyote niliyo viorodhesha hapo!
Nitakununulia supu 500, wali 500, na chips kwa mama Aisha anauza 500, na juisi ya Matunda nitakununulia 300 ushushie!
Ukishiba nakupeleka kwa wahaya ukachague mwaamke yeyote unayemtaka kwa 3000 nitalipa mimi.

Serious njoo buguruni ili uache ubishi.
 
Wazee kuleni msiogope Wala Nini, baa na kwenye migahawa hata ya ki.sasa tu mijini ukienda huko majikoni yaani aisee tunapikiwa kwenye mazingira ya hovyo kabisa, hygiene ya ajabu kweli lakini msosi ukija mezani ni mtamu na msafi kabisa...hivyo wasiwatishe sijui vibudu sijui Nini, hata huko mabuchani unaweza kula kibudu au nyamamfu maana hukumuona mnyama kipindi anachinjwa Wala hukuona mazingira ya maandalizi ya huyo mnyama Hadi kufika buchani.

Hvyo kuleni nyama hizo sema Sasa usitumie sana Hadi ukasahau kujenga future yako, tumia kidogo cha kukutosha, then save kadri uwezavyo mwisho tafuta shimo la kuongeza pesa zaidi ili uwe financial freedom ya uhakika.
 
Niliwahi kumbeba mwanamke mlemavu wa kutumia baiskeli just for curiosity.

Kumbemba kwenye gari na baisikeli yake ilikuwa changamoto, ikabidi baiskeli niweke kwenye buti, matairi yakawa yanatembea kwny lami kama vile roli pulling!

Tukala mtungi tumejificha VIP nikisubiri kula mambo kwa shauku kubwa.

Hatimae tukaingia kitandani. Hamna maajabu, nikajilaumu nimepata tabu bure tu.

Ila mabubu wengi wanakuwaga na maajabu, hawajawahi kuniangusha.
Mwamba unataka kujaribu kila kilema😂😂😂😂😂😂😂.
Kiziwi je??
 
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
Vingunguti , buguruni na viunga vyake 😅😅😅
 
Back
Top Bottom