Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
sahihi ndio maeneo yake hayoAlbino namkuta sana hapa kituo cha rozana upande wa pili hapa (sokoni)
Mara nyingi hili chimbo Huwa wanajaa kuanzia saa nne na nusu hivi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sahihi ndio maeneo yake hayoAlbino namkuta sana hapa kituo cha rozana upande wa pili hapa (sokoni)
Mara nyingi hili chimbo Huwa wanajaa kuanzia saa nne na nusu hivi!
mnakula uchafuHii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!
View attachment 2982368
juzi nimekutana na bubu nae yupo anatoa huduma papuchi😔😔
Kukabwa ,kuibiwa ni jambo la kawaida sana hapo, hata askari wa maeneo hayo nao ni weziHiyo baa ni ya kitambo sana.
Zamani kidogo ilikuwa kimbilio la wanaotaka under 18 na wako safi, nowadays hao under 18 wa hapo ni risk kubwa bora ule mishangazi ya 30's
hewaa ndiye huyo huyo na hivyo ndio ongea yake. Mwizi sana huyo.nilimuonesha ishara akaniambia "bishkanilu lawithtu mwezsii" akaisha
Sio kweli wenye upeo mdogo utawapeleka kama maji yanavyofuata mkondoHii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!
View attachment 2982368
Kimbini iko maeneo ya wapi?Watu wengi hawana taarifa sahihi za machimbo, kuna mwana nilikwenda naye kimbini siku moja nikamwambia twende tukale samaki hakuamini bei yake ikabidi asombe wengi wa kurudi nao nyumbani.
Kwa uroho mtalishwa MBWA!!!Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!
View attachment 2982368
Kitu gani siyo kweli mkuu?Sio kweli wenye upeo mdogo utawapeleka kama maji yanavyofuata mkondo
Mwamba unataka kujaribu kila kilema😂😂😂😂😂😂😂.Niliwahi kumbeba mwanamke mlemavu wa kutumia baiskeli just for curiosity.
Kumbemba kwenye gari na baisikeli yake ilikuwa changamoto, ikabidi baiskeli niweke kwenye buti, matairi yakawa yanatembea kwny lami kama vile roli pulling!
Tukala mtungi tumejificha VIP nikisubiri kula mambo kwa shauku kubwa.
Hatimae tukaingia kitandani. Hamna maajabu, nikajilaumu nimepata tabu bure tu.
Ila mabubu wengi wanakuwaga na maajabu, hawajawahi kuniangusha.
Hii umeitoa wapi?Cheap ina side effects zake
Mwananyamala na muhimbili wamejaa watu wa buguruni na matatizo ya matumbo,be careful
Hata kitimoto ukitaka kuenjoy upate kale hakajakomaa.Kuna mwingine nimemjibu alikuwa na madai kama yako.
Veal siyo nyamafu ya mimba za ng'ombe kama wanazokula Buguruni. Veal ni nyama ya ndama wenye umri kati ya wiki 16 hadi 18.
Kama huelewi google tu "veal meat" utaona.
Kimbiji mbele Kigamboni.Kimbini iko maeneo ya wapi?
Mwaka jana nimekunywa juice mbovu kabisa Serena hotel kwa shilling 10,000/= wakati mtaani kuna juice bora kabisa glasi jero tu.mnakula uchafu
Ya kweli haya mkuu???? any way mi sio mwenyeji wa Daslam bwanaa😀😀😀😀juzi nimekutana na bubu nae yupo anatoa huduma papuchi😔😔
Okay.Mwaka jana nimekunywa juice mbovu kabisa Serena hotel kwa shilling 10,000/= wakati mtaani kuna juice bora kabisa glasi jero tu.
Vingunguti , buguruni na viunga vyake 😅😅😅Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?