Bukoba: Ndege ndogo yapitiliza na kuingia ziwa Victoria

Bukoba: Ndege ndogo yapitiliza na kuingia ziwa Victoria

Why always Bukoba?
images (27).jpeg

There is your answer.
 
Wana bodi.

Leo july 20,2023 imetokea ajali nyingine ya Ndege baada ya ndege ndogo mali ya jeshi la Tanzania JWTZ kuanguka katika ziwa victoria eneo la Nyamkazi katika manispaa ya Bukoba.

Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa polisi Mkoani Kagera ACP Chatanda na Mkuu wa wilaya ya Bukoba ERENEST SIIMA wamesema ajali hiyo ilikuwa na rubani wawili ambao wameokolewa na jitihada za kuitoa ndege hiyo majini zinaendelea ambapo chanzo kamili cha ajli kitatolewa baadaye.

unaweza kutazama picha hapo chini na video za youtube.
 
Attachments

  • kumi8.jpg
    kumi8.jpg
    12 KB · Views: 5
SI tumewadhulumu Waganda ardhi yao
Katika kanuni ya kiroho na utawara wa ardhi maji ndo hutumika kukata mipaka. Kwa upande wa mkoa wa kagera mpakani mwa uganda maji yanayoweza kutumika kama mpaka ni mto kagera tu. Hivyo kwa upande wa bukoba mjini bado itakuw tanzania labda kiwanda cha sukari na maeneo yanayofuata
 
shukrani kwa narration nzuri
 
Back
Top Bottom