Haaaa haaa kumbe, ndio maana Bulembo hampendi Zitto, ndio naanza kuelewa, duh, haa
Mkuu, ni kweli kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuwaoa? Mbona katika maisha halisi wanawake ndio hawapati wanaume wa kuolewa nao? Naona hapa umeweka kwa ghadhabu tu kama za mzee Bulembo... kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuoa lkn wengine wanachukuwa wanawake wote ingawaje wameshaoa na wana familia, angalia Mbowe, Zito kabwe &Co. zero morals, ni kama Wanyama tu, ...
Nimecheka kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]Nimeshangaa sana kama huyo ni mtu mzima anayeweza kuitwa baba.
Familia anaihusishaje na siasa tena za majitaka?...
Zile zinazofanywa zaidi gizani/usiku/nocturnal activitiesπ πWaungwana naomba mnijuze starehe zinazofanywa vichakani ndiyo zipi hizo?
ππππππππ
Zile zinazofanywa zaidi gizani/usiku/nocturnal activitiesπ π
Hahahahahahπππyahhhπππππ zile za kubinuana siyo?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hahahahahahπππyahhh
Mzee naona kawaza afu akashikwa na hasira sanaππ
Inakuwaje ZZK anamnanii mwanangu hiviπ
Zito kashatafna mtoto wa mzee Bulembo.Chezea mijitu ya ukawa w w!!Bado sijaelewa hizi comment,Kwan kuna nini
Mkuu, ni kweli kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuwaoa? Mbona katika maisha halisi wanawake ndio hawapati wanaume wa kuolewa nao? Naona hapa umeweka kwa ghadhabu tu kama za mzee Bulembo
Baharia Zitto sio mtu mzuriπ
Labda kazalia vichakani...sasa mbona wameishazaa
Kwa hio amekubali kwamba mwanae alichapwa na zitto