Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

Mambo ya Mapenzi huwezi jua

Unaweza ukakuta zile Hotuba za kumsifia Magufuli anazotoaga Mh.Halima Bulembo basi kaandikiwa na Zitto Kabwe
Na ndivyo ilivyo bwashee!

Zitto akilewa penzi anakuwa bwege kabisa.
 
Kibwengu naona umerud machakani
 
Ss alitaka wakafanyie chumbani kwake.Huyu mzee sumu
 
Kwa hivyo eisitii inaikandamiza sisiemu vichakani? Au sijaelewa...
 
Mzee Bulembo hutaki mkwe? Mwenye kaka hakosi shemeji
 
Zitto hana mke kwani?
 
Mambo ya Mapenzi huwezi jua

Unaweza ukakuta zile Hotuba za kumsifia Magufuli anazotoaga Mh.Halima Bulembo basi kaandikiwa na Zitto Kabwe
Wewe Mzee, polepole hahahaaa. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Dada kwema huko lumumba
 
Hakumaanisha vichaka hivyo mnavyovijua nyinyi ni kama tu ile lugha ya uliniokota jalalani
 
Ulitaka wakutafune weee?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moyoni anawaza binti yangu umri unakimbia na biological clock is ticking na Zitto anafaidi vichakani nitaona hata mjukuu mie? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ZZK alishamzalisha HALIMA kisha akampiga na chini[emoji3]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…