Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu wanaruhusiwa kuwa na wake zaidi ya mmoja nao pia ni wanyamaTanzania ni pure jungle, Maisha ni rule of the jungle kama vile masokwe na Nyani wanavyoishi, ukitaka kuthibtisha kwamba asili ya Binadamu ni Masokwe na Nyani njoo Tanzania, Masokwe yenye nguvu ndiyo yanayochukuwa wanawake wote kwa kuwapiga masokwe dhaifu, hata Tanzania ni hivyo kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuoa lkn wengine wanachukuwa wanawake wote ingawaje wameshaoa na wana familia, angalia Mbowe, Zito kabwe &Co. zero morals, ni kama Wanyama tu, ...
Imebidi Bulembo astaafu siasa!Mtoto huyu hapa,mimi napiga mkia tu hata kama mshua wake aseme tunakutana makaburini.View attachment 1482751
Kazi kweli kweli!Waislamu wanaruhusiwa kuwa na wake zaidi ya mmoja nao pia ni wanyama
Ni starehe za zitto na bulemboWaungwana naomba mnijuze starehe zinazofanywa vichakani ndiyo zipi hizo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akina halimu wazuri kweliZito anapenda majina ya Halima sana, Halima Mdee, Halima Bulembo
Mwenye binti hakosi mkwe!Zitto nae amezidi kuoa oa! Mpaka mke wa rafiki yake! Ndio maana sura inachubuka kila siku nakuota mapere kila leo! Yatakuwa ni ma UTI ya wanawake,
Anafakamia mno! Ndo maana mzee bulembo katoa povu.
Zito alikuwa anampa binti nondo za kushusha bungeni, wakajikuta wanavutana roomMtoto mbichiii kazaliwa 1991 kabahatika kupata na ubunge baharia kamkamatia kichakani akamjaza mimba
Zitto kamshika pabaya mzee wawatu.View attachment 1482738
Sasa mzee darasa la 7 ataongea kitu gani cha maana,hata afikirii kabla ya kuongea.hili kabila la wajita ni zaidi ya matatizo.Nimeshangaa sana kama huyo ni mtu mzima anayeweza kuitwa baba.
Familia anaihusishaje na siasa tena za majitaka?
Anaweza kudhani kamdhalilisha Zitto ila atakuwa kamdhalilisha sana binti yake na yeye mzee mwenyewe.
Ina maana Bulembo anazaa watoto cheap wanaoliwa hata vichakani ? Ina maana mwanae hana maadili mpaka anazalishiwa vichakani ?
Mzee kazingua sana hapa aisee
Wewe huwa unaliwa chumbani?Nani amekuambia ukiliwa Chumbani ndio unakuwa na thamani?
Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake.
Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na familia imebariki.
Chanzo: Clouds tv
Pia soma - Elections 2020 - Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba
Maendeleo hayana vyama!