Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
'Proof of the pudding is in the eating'.
 
Na yeye kama anaweza kuhujumiwa kwa kiasi hiki bila ya kujua, basi hatufai kwenye hiyo nafasi.
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Yaani katika serikali ambazo hazijielewi ni hii ya ccm. Full mvulugano
 
Kashaonekana ni mtu wa maigizo tu. Nchi hii inabahati mbaya sana sana.
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Debranding ya hali ya juu!!!!
 
Haya majinga machumia tumbo sidhani kama yatakuelewa.
 
Kashaonekana ni mtu wa maigizo tu. Nchi hii inabahati mbaya sana sana.
Nchi hii inasalitiwa na watu wa chache kwa maslahi yao binafsi Sio wengine ni akina Fulani wanaomilki mamlaka za kikatiba.
 
Bulendu tumjengee Mnala njiapanda ya kuingia Ikulu Dodoma.
Kuna waandishi na watangazaji wako vizuri sana.

actually watanzania wengi wakiweka matumbo pembeni ni magenius.
 
Msishangae,Mama Jana Kasema Gwajiboy Oyeeee huku Juzi kati Gwajima katoka kuhojiwa na bunge lake kuhusu kauli zake sa unashindwa kumuelewa huyu Rais Wetu Ni Moto Au Baridi?? huyu Mama huenda anamatatizo sio bure Wa mchunguze tusije Mpoteza Huenda Baada ya Kuchanja Kaanza kupotea
 
Nyie ambao hamumuambii ukweli Mama ndio mnamhujumu kiana. Ugaidi uliofanyika mbele ya lango kuu la kuingilia Ubalozi wa inji maarufu na muhimu duniani ya Ufaransa unategemea utawazuga wanzungu kwa kusema halikuwa tukio lenye viashiria vyote vya kigaidi. Ionesheni dunia mtafanya juhudi gani kukabiliana na watu wenye matendo ya Hamza hapo ndipo mtaheshimika na kuwapa Watalii imani.
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Idiocy of astronomical proportions! Ni vigumu Tanzania kuivunja hii vicious circle of poverty kwa akili kama hizo!
 
Ukilitizama hili suala kwa makini utagundua kuwa Mama Tozo anatwanga maji kwenye kinu.
Yeye yuko buzy kuwavutia Watalii kuja nchini Kwa gharama kubwa. Wakati huo huo wasaidizi wake wako buzy kuhakikisha kuwa Dunia inaamini kuwa Tanz kuna Ugaidi. Polisi wanatumia Kila njia kuhakikisha nchi imechafuka kimataifa. Kwa kujaribu kutengeneza kesi za kuunga unga za Ugaidi mf suala la Hamza na Mh Mbowe. Siwalaumu Sana Polisi kwani sote tunafahamu sifa ya viwango vya elimu ya kujiunga na jeshi la polisi. Lawama nawaangushia Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Gwajima anasema Viongozi wa serikali wamehongwa ili kuwashawishi Watanzania kuchanja nae hatachanja kisha Rais anampandisha jukwaani ili aseme kama atachanja. Maajabu yanayopatikana Tz tu.
 
Ni bahati mbaya sana awamu hii nchi yetu neno UGAIDI tunalitumia kwa urahisi sana ilihari kwingineko duniani likitajwa nchi zinasimama kwa taharuki. Tukio la Hamza mi bado nilipima kama uhalifu mwingine unaoweza kuwa umesababishwa na visa, msongo wa mawazo au tatizo la kiafya. Kumbuka hata malaria ikipanda kichwani inapelekea mtu kufanya yasiyotarajiwa.

Nashauri mamlaka zisipende kuitumie neno UGAIDI kirahisi. Ingekuwa hivo hata alivouawa DAUD MWANGOSI ingekuwa zaidi ya ugaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…