Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh nyoka umeingia kwenye kundi ka nyegere,unapona kweli?Hili sikubaliani nalo, Angela Marckel ameiongoza Ujerumani kwa maiaka mingapi na anajua analolifanya.
'Proof of the pudding is in the eating'.Anaandika Dotto Bulendu
Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Kwao panaitwa Mwibagi wilaya ya Bunda. Huyu ni Mzanaki (Msizaki- yaani muwindaji) kama WasiraAkili za akina Siro amekulia Tarime kaja mjini na train kwa bahati atajulia wapi?
Tatizo siyo mama. Tatizo akili za mtu. Awe baba awe mamaNyumba haina Baba kiongozi mama haelewi nini kifanyike ana haha tu!!!
Wote walewale mkuuKwao panaitwa Mwibagi wilaya ya Bunda. Huyu ni Mzanaki (Msizaki- yaani muwindaji) kama Wasira
Yaani hadi Mh. Rais aelewe kuna watu nyuma yake wanao mhujumu itakuwa too late!!!
Hivi ni mtalii gani ata kuja kwenye nchi yenye magaidi?
Tukisema Siro na genge lake wana mhujumu Mh. Rais wengine wana bisha. Ila kwa kweli Siro anatakiwa kuachia hiyo nafasi kwa heshima yake na heshima ya Taifa.
Yaani katika serikali ambazo hazijielewi ni hii ya ccm. Full mvuluganoAnaandika Dotto Bulendu
Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Well said, hajui kuwa kizuri kinajiuza chenyewe. Standard Airports, standard roads/infrastructure, Star hotels and resorts, quality services na Usalama ndiyo msingi wa kuvutia utalii. Ati anaenda kufanya filamu ya kuonyesha utalii, sorry hata ungefanya trimming too --bese!
Debranding ya hali ya juu!!!!Anaandika Dotto Bulendu
Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Haya majinga machumia tumbo sidhani kama yatakuelewa.Kuna tatizo kubwa katika mawasiliano kati ya Taasisisi, no communication at all. Labda ni kweli hawa wasaidizi wake hawana exposure, mtalii yupo atachagua kwenda Afghanistan asiende Morocco? Asiende Kenya aje Tanzania kwenye ugaidi? Utalii kitu namba moja ni usalama; wa vyote hata mahali watakapolala.
Nchi hii inasalitiwa na watu wa chache kwa maslahi yao binafsi Sio wengine ni akina Fulani wanaomilki mamlaka za kikatiba.Kashaonekana ni mtu wa maigizo tu. Nchi hii inabahati mbaya sana sana.
Beberu ame address mambo makubwa muhimu kwa Taifa. Mbowe aonekana muhumu pia.
Kuna waandishi na watangazaji wako vizuri sana.Bulendu tumjengee Mnala njiapanda ya kuingia Ikulu Dodoma.
Yaani hadi Mh. Rais aelewe kuna watu nyuma yake wanao mhujumu itakuwa too late!!!
Hivi ni mtalii gani ata kuja kwenye nchi yenye magaidi?
Tukisema Siro na genge lake wana mhujumu Mh. Rais wengine wana bisha. Ila kwa kweli Siro anatakiwa kuachia hiyo nafasi kwa heshima yake na heshima ya Taifa.
Idiocy of astronomical proportions! Ni vigumu Tanzania kuivunja hii vicious circle of poverty kwa akili kama hizo!Anaandika Dotto Bulendu
Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Ukilitizama hili suala kwa makini utagundua kuwa Mama Tozo anatwanga maji kwenye kinu.Kuna tatizo kubwa katika mawasiliano kati ya Taasisisi, no communication at all. Labda ni kweli hawa wasaidizi wake hawana exposure, mtalii yupo atachagua kwenda Afghanistan asiende Morocco? Asiende Kenya aje Tanzania kwenye ugaidi? Utalii kitu namba moja ni usalama; wa vyote hata mahali watakapolala.
Gwajima anasema Viongozi wa serikali wamehongwa ili kuwashawishi Watanzania kuchanja nae hatachanja kisha Rais anampandisha jukwaani ili aseme kama atachanja. Maajabu yanayopatikana Tz tu.Anaandika Dotto Bulendu
Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.