LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Yaani hadi Mh. Rais aelewe kuna watu nyuma yake wanao mhujumu itakuwa too late!!!Anaandika Dotto Bulendu
Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi.Branding or Debranding?Jadili.
Hivi ni mtalii gani ata kuja kwenye nchi yenye magaidi?
Tukisema Siro na genge lake wana mhujumu Mh. Rais wengine wana bisha. Ila kwa kweli Siro anatakiwa kuachia hiyo nafasi kwa heshima yake na heshima ya Taifa.