Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi.Branding or Debranding?Jadili.
Yaani hadi Mh. Rais aelewe kuna watu nyuma yake wanao mhujumu itakuwa too late!!!
Hivi ni mtalii gani ata kuja kwenye nchi yenye magaidi?
Tukisema Siro na genge lake wana mhujumu Mh. Rais wengine wana bisha. Ila kwa kweli Siro anatakiwa kuachia hiyo nafasi kwa heshima yake na heshima ya Taifa.
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi.Branding or Debranding?Jadili.
Bulendu, watalii wengi watakuja kupiga picha za magaidi wa bastola na sh.600,000/=
 
Nyumba haina Baba kiongozi mama haelewi nini kifanyike ana haha tu!!!
Well said, hajui kuwa kizuri kinajiuza chenyewe. Standard Airports, standard roads/infrastructure, Star hotels and resorts, quality services na Usalama ndiyo msingi wa kuvutia utalii. Ati anaenda kufanya filamu ya kuonyesha utalii, sorry hata ungefanya trimming too --bese!
 
Wamehama kutoka uchochezi mpaka kwenye ugaidi wakitoka hapo sijui watarukia wapi tena
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi.Branding or Debranding?Jadili.
Wote ni wale wale tu, lao moja unataka kusema yeye Rais hajasikia na haelewi?
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi.Branding or Debranding?Jadili.
Mmoja anadeki mwingine anachafua tena kwa spead kuliko anayepiga deki
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi.Branding or Debranding?Jadili.
Achana na mwanaharakati Dotto Bulendu- wapi hakuna ugaidi hapa duniani? Mkumbushe kuwa msimamo wa dunia ni kuwa ugaidi usitutie hofu bali tuendelee kuishi maisha yetu ili nia ovu ya magaidi ya kututia hofu ishindwe. Ndiyo maana RJMT Samia anaendelea kuchapa kazi.
 
Natamani kujua hii picha ina maanisha nini?
Rafiki huyo jamaa alievaa kijani anajenga zebra ya kuvukia kwenda porini sehemu ambayo hakuna wavuka barabara.Maana yake hana akili na hajitambui na hajui analofanya.

Kijani ni CCM.Na hapo maana yake ni kwamba CCM hawajitambui na hawajui wanafanya nini.

Ndo kama hivyo Rais anatumia hela nyingi za walipa kodi kutangaza utalii wakati kuna viongozi wengine wako busy kuzuia utalii kwa kuitangazia dunia kuwa Tanzania ni nchi hatari kwa ugaidi na hili wala Rais mwenyewe halioni.

Ni mambo ya ajabu na aibu kabisa.CCM hawajitambui na hawajui wanafanya nini.Simple and clear rafiki!
 
Achana na mwanaharakati Dotto Bulendu- wapi hakuna ugaidi hapa duniani? Mkumbushe kuwa msimamo wa dunia ni kuwa ugaidi usitutie hofu bali tuendelee kuishi maisha yetu ili nia ovu ya magaidi ya kututia hofu ishindwe. Ndiyo maana RJMT Samia anaendelea kuchapa kazi.
Hujui lolote kuhusu utalii. Na utalii haundeshwi kisiasa, jifunze kidogo ndiyo uwe unachangia mada
 
External factors affecting project implementation need to be advised before, during and after
 
Back
Top Bottom