Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

Julius Rubambi (38), ambaye ni Ofisa wa Kilimo katika Kata ya Neruma wilayani Bunda mkoani Mara, amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu pamoja na kung'atwa katika sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi, na mkewe aitwaye Elizabeth Stephen (30), ambaye naye amejeruhiwa vibaya hali iliyosababishwa alazwe katika hospitali ya Kibara, baada ya kutokea kwa ugomvi wa kifamilia kati yao.
.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Salim Morcase pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Bunda Dkt.Vicent Naano, wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba tayari mwanamke huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi huku uchunguzi ukiendelea


View: https://www.instagram.com/p/C5Q-MmTsEUy/?igsh=eXZ3bTl6eGVxbHRu
 
Ooh Nifah is sad and am sad too 😭😭
 
Sijui kwann kukitokea kifo/vifo vya wanandoa, afu viwe vinahusu wivu wa mapenzii, bas mie furaha na roho kwatuu.

Nasema bado wauane tena na tena afu zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…