Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

Tupe mstari! Lakini kwa kumwangalia usoni huyo mwanamke wa kikurya jicho kodo lazima ni mtata!
Wanawake wa hivyo huwa wanakuwa wametumika sana wakaisha utamu wote, sasa ikabakia kupata nice man alafu alipe kisasi kwa kutumika huko nyuma... sasa wanawake hawajuagi jinsi unavyochanganya wanaume unakuwa mwovu mpaka sura inabadilika kabisa maana ukimwangalia unaona ana maumivu sana. Sasa anakwenda kuishia gerezani dahh nahisi asiwe na watoto.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
The reason why I will never get married
 
Uhusiano wa mashaka.
 
Ukilala naye usiku si anaku time tu
😄
akikukosa huko atakupata kwenye chakula si anakupikia,anakupakulia pia
AKikukosa huko atakupata kwenye kukufulia nguo 😄

ova
😊😊😊😊
Huko kuviziana mkuu Mimi nilisemea kupigana ngumi alaf nidundwe na MWANAMKE

Kuviziwa hapo sawa mkuu😊😊😊😊
 
Lakini ni kwanini hii mikoa ya kanda ya ziwa pamoja na mikoa ya upande wa kushoto inaongoza sana kwa mauaji ya kikatili yanayohusu wivu wa kimapenzi?
 
Naona umewablock timu kataa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…