Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

Ukweli ukiitizama sura ya mwanamke inajieleza lakini huyo bwana mdogo alikuwa so innocent hata kwa kuonekana tu.

Mungu amrehemu lakini tuliobaki tunasonga mbele ndoa bado zitakuwepo tu hiyo ni ajali kama zilivyo ajali nyingine au kama leo tulipotoka makwetu asubuhi hadi muda huu giza linaingia kuna ambao hatukupata kitu na kuna ambao wamepata so yote ni matokeo mwenye mke ameuawa na mkewe na yupo mwengine anatengewa maji na mkewe akaoge muda huu.
Mkiambiwa msioe hamsikii
 
Ukisoma Injili 4 (Mathayo, Marko, Luka na Yohane) utagundua maelezo kama hayo.

Wengi wanadhani zinapingana, kumbe kila mwandishi anawasilisha taarifa ileile katika engo yake na maudhui makhususi.
 
Tunatofautiana akili kwa kweli hivi kitu cha kuingia ukakojoa ukaendelea na mishe zako zinatoa mtu roho! Hivi kuna watu wapo serious na mpz kiasi hiki?

Jitu hujazaliwa nalo mumekutana ukubwani umelioa au kukuoa hujalikuta bikira unalikuta lilishatumika hadi basi kulifanyia wivu hadi kukutoa roho inatoka wapi?
Umeandika points tupu.Dalili za mwanamke muovu ukizisoma mapema muache.Heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara.

Inasadikika kuwa chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume kumtuhumu mke wake kuwa ameanzisha mahusiano mengine nje ya ndoa.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Mara ACP Salim Morcas na amesema tayari mwanamke huyo anashikiliwa na Jeshi hilo na kwamba uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.

Ogopa sana mwanamke wa KIJITA
 
Wanake wa siku hizi wako kama wanaume tu. Wanachepuka halafu wa kamatwa wanakuwa wakali. Wanawake wa zamani walikuwa wanachwa na waume zao miaka miwili wakati mme kaenda kutafuta pesa na akirudi wanakuwa mke anamsubiri bila shida. Lakin wa siku hizi ni shida tu.
 
Back
Top Bottom