Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Hujaambiwa sura unaambuwa ubaunsa??Wolper hana sura ngumu hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaambiwa sura unaambuwa ubaunsa??Wolper hana sura ngumu hivyo
Ana ubaunsa gani yule....Hujaambiwa sura unaambuwa ubaunsa??
Rs jeff acha usumbufu na watu siwezagi kuongea nimezeeka kama huelewi basi.Ana ubaunsa gani yule....
Thanks bro and you too!R.I.P nice guy
Mhhhhh 🙌🏿👌🏿poa my wangu, nimekumiss
Mkiambiwa msioe hamsikiiUkweli ukiitizama sura ya mwanamke inajieleza lakini huyo bwana mdogo alikuwa so innocent hata kwa kuonekana tu.
Mungu amrehemu lakini tuliobaki tunasonga mbele ndoa bado zitakuwepo tu hiyo ni ajali kama zilivyo ajali nyingine au kama leo tulipotoka makwetu asubuhi hadi muda huu giza linaingia kuna ambao hatukupata kitu na kuna ambao wamepata so yote ni matokeo mwenye mke ameuawa na mkewe na yupo mwengine anatengewa maji na mkewe akaoge muda huu.
sawa mahi dihaSafi my wangu. Nitakucheki ili uniletee bidhaa fulani hivi, maana huku bongo miyeyusho
Teh teh😊😊😊😊
Huko kuviziana mkuu Mimi nilisemea kupigana ngumi alaf nidundwe na MWANAMKE
Kuviziwa hapo sawa mkuu😊😊😊😊
Umeandika points tupu.Dalili za mwanamke muovu ukizisoma mapema muache.Heri nusu shari kuliko shari kamiliTunatofautiana akili kwa kweli hivi kitu cha kuingia ukakojoa ukaendelea na mishe zako zinatoa mtu roho! Hivi kuna watu wapo serious na mpz kiasi hiki?
Jitu hujazaliwa nalo mumekutana ukubwani umelioa au kukuoa hujalikuta bikira unalikuta lilishatumika hadi basi kulifanyia wivu hadi kukutoa roho inatoka wapi?
Asante 2022, ningekua Makaburi ya Kinondoni au Segerea.Umeandika points tupu.Dalili za mwanamke muovu ukizisoma mapema muache.Heri nusu shari kuliko shari kamili
Ogopa sana mwanamke wa KIJITAOfisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara.
Inasadikika kuwa chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume kumtuhumu mke wake kuwa ameanzisha mahusiano mengine nje ya ndoa.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Mara ACP Salim Morcas na amesema tayari mwanamke huyo anashikiliwa na Jeshi hilo na kwamba uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.
Pasaka juzi tu hapa mshaanza kumalizana😅Accumen Mo is happy
Wanake wa siku hizi wako kama wanaume tu. Wanachepuka halafu wa kamatwa wanakuwa wakali. Wanawake wa zamani walikuwa wanachwa na waume zao miaka miwili wakati mme kaenda kutafuta pesa na akirudi wanakuwa mke anamsubiri bila shida. Lakin wa siku hizi ni shida tu.Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara.
Inasadikika kuwa chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume kumtuhumu mke wake kuwa ameanzisha mahusiano mengine nje ya ndoa.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Mara ACP Salim Morcas na amesema tayari mwanamke huyo anashikiliwa na Jeshi hilo na kwamba uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.