Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

Ulinzi upi!?, Hii sheria ya miaka 18 ipo miaka lakini mbona haijazuia Wasichana wadogo wasishike mimba na kuzaa!?.

Ikiwa anaweza kubeba mimba akiwa shule ya msingi bila ndoa , vipi azuiliwe kuolewa!?.
 
Aya maelezo yako yoote ni kujustify suala lenu la kuoa vitoto vya miaka9 ? Hivi unawezaje wezaje kupitisha li Engong baltsaar lako kweny K ya mtoto?
Ungemuliza Joseph alipo mposa mama wa Yesu wakati ana umri wa miaka 6 angekujibu.
 
Watesaji wa watoto hao ....hao ndio makafiri haswa.
 
Ulinzi upi!?, Hii sheria ya miaka 18 ipo miaka lakini mbona haijazuia Wasichana wadogo wasishike mimba na kuzaa!?.
Sheria inamlinda mtoto sababu ukikamatwa umemwingilia mtoto adhabu zipo.
Ikiwa anaweza kubeba mimba akiwa shule ya msingi bila ndoa , vipi azuiliwe kuolewa!?.
Kuweza kubeba mimba hakukupi uhalali wa kumuingilia mtoto.

Nimekupa mfano mwepesi kuwa mambo hayafanyiki tu sababu yanawezekana.

Naurudia mfano ili tuelewane.

Wewe ulipokuwa na miaka 9 si ulikuwa na uwezo wa kuingiliwa? Si wafiraji walikuwepo? Pamoja na uwepo wa sheria si matukio ya watoto kuingiliwa yalikuwepo?

Sasa sababu inawezekana kuingiliwa, ingepitishwa sheria kuwa vijana wadogo ruksa kuolewa mzazi wako akaamua uwekwe sokoni unadhani angekosekana wa kukuoa? But hili halikutokea sababu sheria zilikulinda.

Sasa kama ambavyo wewe ulilindwa na watoto wengine wanalindwa bila kujali jinsia.

Suala kwamba wanaweza kuingiliwa na kushika mimba halihalalishi wao kuingiliwa japokuwa watu wenye hizi tamaa wapo.
 
Kwa akili hizo Israel ataendelea kuwatifua mpaka mwisho wa dunia.
Adui mkubwa wa Waarabu ni Uisilamu na haswa kuamini kuwa Quruani ni DIRECT WORD OF ALLAH.

Wakati wa Abbasid Caliphate Sultan wa Baghdad Harun Bin Rashid aliwaita Muslim Scholars na likaongelewa sana hili Scholars walibishana sana kuhusu hilo mwishowe ikafosiwa kuwa Quruani ni maneno ya moja kwa moja kutoka kwa Allah halafu ukiwauliza Waisilamu kama Mohamed alionana USO KWA USO na Allah wanasema kuwa HAPANA HAKUONANA ni Malaika ndio alimletea Quruani 😆😆😆😁😂
 
Hivi hizi serikali za kiislamu kipaumbele chao huwa ni kuwaza ngono na kumkandamiza mwanamke tu??
 
Unaweza kukubali binti yako wa miaka 9 kuolewa ??
Kwann nisikibali au unataka wamgegede shuleni vijana wa ovyo ,,huu mfumo wa elim ya sekular mashuleni ndio unaodhorotesha maadili,,watoto wanasagana mabwenini ,,wengne wanafirana mahostel,,,sasa kwanin nisimuoze mwanang ww kama unataka kumpa elim mchwara ww mpe sis tunaozesha
 
KWA MAYAHUDI KWAO NI 3 YEARS OLD LKN HAMUSEMI KWA SABABU NI TAIFA TEULE
 
Sasa miak 9 si anacheza vikopo tu jmn kha wamezidi Sasa
 
Makilo hiii elim ya sekular tunaysoma mashulen sio elim halis ,,,wameamua kutupa tone tu la elimu ila bahar nzima wanayowao
 
Kwamujibu wa uislamu kufanya aliyofanya mtume ni Sunna

Yaani huwezi ukajiita muislamu halafu hufati aliyofanya mtume, eg kuoa wake wengi, kufuga ndevu, kuoa visichana vdogo(refer Aisha), kufunga, kuvaa kanzu na kobazi, kufuga majini etc
 
Yaani mtoto wa miaka 9 aone yupo huru kuolewa?
 
Hawa ni ng'ombe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…