Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

Miaka 9 hivi anakua amevunja ungo kweli, hii ni too much. Wengine wanalinganisha na africa zamani. Sio kweli wale walikua wanafanya booking, mpaka apevuke ndio anamchukua.
Wanaojadili bungeni wanaelewa wanachokifanya.
. Tusubiri matokeo.
 
Wakiipitisha hii sheria, tutawaona kama genge la wahuni waliokusanyika sehemu moja.
Mimi naona wajinga ni wale wanaojifanya wana akili kuliko Muumba wao. Ingekuwa ni mini nnawaongoza, ingekuwa haina mjadala wala haina umri.

Tufate uasili (nature) tu. Mradi wa kike kisha vunja ungo aolewe na wa kiume kabalehe aowe tu.

Hakuna cha miaka wala nini.
. Haya masheria ya kijinga ya kujitungia wenyewe ndiyo yanatupekeka puta.
 
Mimi naona wajinga nu wsle wsnaojifsnya wana akili kuliko Muumba wao. Ingekuwa ni mini nawsingiza, haina mjadala wala haina umri.

Tufate uasili (nature) tu. Mradi wa kike kisha vunja ungo aolewe na w kiume kabalehe aowe tu.


Mhakua cha miaka wala nini.
. Haya masheria ya kijinga ya kujitungia wenyewe ndiyo yanatupekeka puta.
Mtoto aache kusoma aolewe!
 
Safi kabisa yani unajipatia mtoto mbiiiichi😍😋
 
Cha kushangaza wanao viowa hivyo vitoto ni wazee na vibabu.

Hizo ni tamaa za wazee tu ili wamwige mtume wao.
Mbona hawashinikizi vitoto vya kiume vya miaka 9 viowe ?

Hiyo ni mipango ya wazee kutaka kubikiri vitoto vichanga.
Hii Dini ya Haki ina vituko sana kwakweli.
 
Bunge la Iraq limesema linafuata Suna za Mtume Mohammad kuoa Vibinti vidogo.
 
Back
Top Bottom