Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Huyu atakuwa alihusika na shambulio la LISU huyu.Hii Ban kwake inamaana kubwa sana.
Umejiuliza tarehe 7 September, 2017 Bashite alikuwa wapi wakati Ikulu ya Dar, Rais alikuwa anapokea ripoti ya makinikia na yeye akiwa mkuu wa mkoa wa Dar alitakiwa kuwepo!!!?
 
Mleta mada si ulisema ulikimbia nchi ....nini tena umesahau huku!
 
Tusisahau kuwa hivi karibuni tu, balozi wa Marekani alifunga Safari kwenda kumwona mke wa Azory Gwanda na kumtakia Krismasi njema.
 
Kwann unampenda sana yakobo,nimenukuu moja ya mistari kwenye wimbo wa roma. Baba akionyesha hadharan upendo kwa mtoto anakua anajiona yy yuko juu anaweza fanya lolote ukichaa unamjaa na lazima anaishia pabaya nisawa na makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
We pu.nga, uwe japo na akili kidogo angalau ya kuombea maji. Hivi unadhani hayo MAUAJI Makonda aliyatekeleza kwa amri ya nani? Shenzi wewe.
 
Baada ya Brexit ya Uingereza na nchi za ulaya sasa Marekani wameamua kum BREXIT makonda na watanzania, inauma sie kujumlishwa kwenye makosa ya huyu FFFFF, lait meko angemskiliza gwajiboy.
 
Leo umeongea fact Dada faizafoxy ujue sijui tuna akili za kushikiwa sisi jamani ccm yangu naililia kwa kuenda shimoni kiss wachache wenye uchu wa madaraka ila mungu yupo ccm italudi kwenye misingi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Si leo tu. Labda hunisomi bila kuwa biased.
 
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Kaka Tumia ubongo hivi sisi hapa Kweli tunaweza kusema tupambane na hao unaoita Mabeberu?? Jana tu wametupa Magari ya Jeshi sasa unasema wamebanwa ha haa..sisi na wao nani anaweza kubana mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…