Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Si nimesema, hapo umeihakikishia jamii kuwa kweli kabisa shule ulienda kusomea ujinga. Kinaga ubaga.SURA MBAYA KUFA HUTAKI... WEWE MWENYEWE HUNA ELIMU KAZI KUAMBIA KILA MTU HANA ELIMU. PUMBAVU KABISA, SHETANI MKUBWA WEWE. KWENDA.....TOKAAAAAA GO TO HELL
WEWE MPUUZI TUSi nimesema, hapo umeihakikishia jamii kuwa kweli kabisa shule ulienda kusomea ujinga. Kinaga ubaga.
Acha imvurugie, alifikiri kuwa mkuu wa mkoa ni kuwa juu ya Dunia. Tena Wamarekani watoe ushahidi kabisa juu ya jinsi amekuwa akinyang'anya watu haki yao ya kuishi!!!!!Huyu jamaa ameshiriki ushetani wa hali ya juu sana, na kwa umri wake hii BAN imemvurugia saaaana.
Ni kiongozi gani umewahi kusikia amepigwa ban kwa kuzuia ushoga? Au unataka kutuambia makonda ndo wa kwanza kupinga ushoga?makonda hajazuiwa kwa sababu amefanya kosa, sababu kubwa amepinga ushoga
japo simkubali mkoromije ila katika hili msishabikie
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu naye siku hizi amepoteza credibility. Mikono yako kama ilivyo ya Magufuli na Makonda imejaa damu. Kuchongea watu wengine kwa magaidi wa serikali hakutakusaidia kitu ila inaonyesha uwezo wako mdogo wa kufikiri.Huu ni muendelezo wa mpango huu
PUS/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
unajua zile dollar million 500 zilikuwa ztolewe na nanMabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Makonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.
1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
TUNACHOKIFAHAMU NA TULICHOKITEGEMEA NI KWAMBA. ILIKUWA NI LAZIMA KWA MAKONDA KUNYOOSHEWA KIDOLE NA HAO WAMEREKANY, SABABU NI NINI? SABABU NI Mh. MAKONDA KUJITOKEZA NA KUPINGA MASHOGA HADHARANI. NA KUHAMASISHA JAMII PIA NA KUIZINDUA JAMII ISIKUBALI USHOGA HAPO DAR.Siongei sana
View attachment 1342906
Atavuna mambo aliyoyafanyaMakonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.
1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
litusi kabisaKWA KWELI WE WE NI MPUMBAVU MKUBWA PLUS MPUUZI. TANZANIA INA WAJINGA NA WASHAMBA WENGI
Unataka kutuambia wewe na genge lako mnapowaua watu ngozi nyeusi wenzetu mkawafunga kwenye miroba, na kuwatupa kwenye mito Ni jambo jema kwa ngozi nyeusi?Sikumbuki ni lini mtu mweupe akawa na jema kwa ngozi nyeusi.
Hivi si ndio hawa hawa walikuwa wanapiga babu zetu mijeledi na kuyaita makazi yao bara la giza??
Hivi ni lini wamepata upendo wa ghafla mpaka wakaamua kutupigania ili tupate demokrasia??
Yes Aliipigwa Risasi baada ya Bashite Kumkabidhi kwa Kichwa SAMAKI aka MTU FURANI naomba Mumuombeeee!!Ben ameuawa?
Atapelekwa kwa matendo yake ya kuua watu na kukandmiza haki za binadamu Tanzania ni Member ICC.Mkuu tuache mihemko. Hivi hujui Marekani haitambui hiyo ICC ndio maana sio Member?
Sawa maana na ushahidi wote unao wewe.Atapelekwa kwa matendo yake ya kuua watu na kukandmiza haki za binadamu Tanzania ni Member ICC.
Wewe na nani,!TUNACHOKIFAHAMU NA TULICHOKITEGEMEA NI KWAMBA. ILIKUWA NI LAZIMA KWA MAKONDA KUNYOOSHEWA KIDOLE NA HAO WAMEREKANY, SABABU NI NINI? SABABU NI Mh. MAKONDA KUJITOKEZA NA KUPINGA MASHOGA HADHARANI. NA KUHAMASISHA JAMII PIA NA KUIZINDUA JAMII ISIKUBALI USHOGA HAPO DAR.
HUO NDIO UKWELI. KISINGIZIO KINACHOTUMIKAGA NA HAO WATU KINAITWA "DIMOKRASYIA' LAKINI HILO NI VUNGA TUU. WAZEE HUKO MAMBELE WANATAKA WANAUME WA WAAFRIKA NAO WAANZE KUTANDIKANA. HILO HALIKUBALIKI.
HUYU KIONGOZI WETU NI BORA ASIENDE HUKO, LAKINI USHOGA AENDELEE KUUPINGA TUU.
KAZA UZI BWANA MAKONDA. SISI TUPO NA WEWE.
Vp huo mkataba na barick unauonaje?Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Hata Iran mara ya kwanza walivyoambiwa na US kwamba wana ushahidi wa kutosha kwamba wameitungua ndege ya Ukraine walibisha ila baada ya kugundua kweli US wana data zote ikabidi "WATEME NDOANO" ,Mabeberu washasema BASHITE kaua watu wana ushahidi wa Kutosha inabidi uwaelewe tu mtu kama MIKE POMPEO sio MAMBO SASA au KOVA WANAOTUNGA FUTUHI.Ni vizuri kupeleka ushahidi huu police, kwa shambulio la lisu, hatuna proof yeyote kwa yeyote maana yake anayebeba lawama ni jeshi la police maana hao ndio wana jukumu la kuwalinda watu na pia pre lisu aliwapa taarifa za matishio aliyokuwa anayaona, sasa mkuu wa mkoa kafanya lipi kiukweli ambalo linakandamiza haki za binadamu, la ben pia lawama iko kwa jeshi la police, kutumia neno gross si sawa waweke specification kbs mbona wengine huwa wanatajwa kbs kuna hili na hili amehusika nalo, tujadili haya bila upendeleo na ushabiki, la clouds kweli angalau lina eleweka kidgo, nin kingine makonda kafanya kama sio chuki binasfi tu
Sent using Jamii Forums mobile app