Ni vizuri kupeleka ushahidi huu police, kwa shambulio la lisu, hatuna proof yeyote kwa yeyote maana yake anayebeba lawama ni jeshi la police maana hao ndio wana jukumu la kuwalinda watu na pia pre lisu aliwapa taarifa za matishio aliyokuwa anayaona, sasa mkuu wa mkoa kafanya lipi kiukweli ambalo linakandamiza haki za binadamu, la ben pia lawama iko kwa jeshi la police, kutumia neno gross si sawa waweke specification kbs mbona wengine huwa wanatajwa kbs kuna hili na hili amehusika nalo, tujadili haya bila upendeleo na ushabiki, la clouds kweli angalau lina eleweka kidgo, nin kingine makonda kafanya kama sio chuki binasfi tu
Sent using
Jamii Forums mobile app