Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..

Kaka usiwaite mabeberu tutakosa milion 500 za elimu kwa watoto wetu
 
SURA MBAYA KUFA HUTAKI... WEWE MWENYEWE HUNA ELIMU KAZI KUAMBIA KILA MTU HANA ELIMU. PUMBAVU KABISA, SHETANI MKUBWA WEWE. KWENDA.....TOKAAAAAA GO TO HELL
Si nimesema, hapo umeihakikishia jamii kuwa kweli kabisa shule ulienda kusomea ujinga. Kinaga ubaga.
 
Huyu jamaa ameshiriki ushetani wa hali ya juu sana, na kwa umri wake hii BAN imemvurugia saaaana.
Acha imvurugie, alifikiri kuwa mkuu wa mkoa ni kuwa juu ya Dunia. Tena Wamarekani watoe ushahidi kabisa juu ya jinsi amekuwa akinyang'anya watu haki yao ya kuishi!!!!!
 
Huu ni muendelezo wa mpango huu

P
Huyu naye siku hizi amepoteza credibility. Mikono yako kama ilivyo ya Magufuli na Makonda imejaa damu. Kuchongea watu wengine kwa magaidi wa serikali hakutakusaidia kitu ila inaonyesha uwezo wako mdogo wa kufikiri.
 
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
unajua zile dollar million 500 zilikuwa ztolewe na nan
Tumia akili
Fikiria kwanza kabla ya kutoa shudu zako
 
Daaaaah !
Makonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.

1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUNACHOKIFAHAMU NA TULICHOKITEGEMEA NI KWAMBA. ILIKUWA NI LAZIMA KWA MAKONDA KUNYOOSHEWA KIDOLE NA HAO WAMEREKANY, SABABU NI NINI? SABABU NI Mh. MAKONDA KUJITOKEZA NA KUPINGA MASHOGA HADHARANI. NA KUHAMASISHA JAMII PIA NA KUIZINDUA JAMII ISIKUBALI USHOGA HAPO DAR.

HUO NDIO UKWELI. KISINGIZIO KINACHOTUMIKAGA NA HAO WATU KINAITWA "DIMOKRASYIA' LAKINI HILO NI VUNGA TUU. WAZEE HUKO MAMBELE WANATAKA WANAUME WA WAAFRIKA NAO WAANZE KUTANDIKANA. HILO HALIKUBALIKI.

HUYU KIONGOZI WETU NI BORA ASIENDE HUKO, LAKINI USHOGA AENDELEE KUUPINGA TUU.

KAZA UZI BWANA MAKONDA. SISI TUPO NA WEWE.
 
Atavuna mambo aliyoyafanya
 
Sikumbuki ni lini mtu mweupe akawa na jema kwa ngozi nyeusi.

Hivi si ndio hawa hawa walikuwa wanapiga babu zetu mijeledi na kuyaita makazi yao bara la giza??

Hivi ni lini wamepata upendo wa ghafla mpaka wakaamua kutupigania ili tupate demokrasia??
Unataka kutuambia wewe na genge lako mnapowaua watu ngozi nyeusi wenzetu mkawafunga kwenye miroba, na kuwatupa kwenye mito Ni jambo jema kwa ngozi nyeusi?
 
TUNACHOKIFAHAMU NA TULICHOKITEGEMEA NI KWAMBA. ILIKUWA NI LAZIMA KWA MAKONDA KUNYOOSHEWA KIDOLE NA HAO WAMEREKANY, SABABU NI NINI? SABABU NI Mh. MAKONDA KUJITOKEZA NA KUPINGA MASHOGA HADHARANI. NA KUHAMASISHA JAMII PIA NA KUIZINDUA JAMII ISIKUBALI USHOGA HAPO DAR.

HUO NDIO UKWELI. KISINGIZIO KINACHOTUMIKAGA NA HAO WATU KINAITWA "DIMOKRASYIA' LAKINI HILO NI VUNGA TUU. WAZEE HUKO MAMBELE WANATAKA WANAUME WA WAAFRIKA NAO WAANZE KUTANDIKANA. HILO HALIKUBALIKI.

HUYU KIONGOZI WETU NI BORA ASIENDE HUKO, LAKINI USHOGA AENDELEE KUUPINGA TUU.

KAZA UZI BWANA MAKONDA. SISI TUPO NA WEWE.
Wewe na nani,!
 
Ni vizuri kupeleka ushahidi huu police, kwa shambulio la lisu, hatuna proof yeyote kwa yeyote maana yake anayebeba lawama ni jeshi la police maana hao ndio wana jukumu la kuwalinda watu na pia pre lisu aliwapa taarifa za matishio aliyokuwa anayaona, sasa mkuu wa mkoa kafanya lipi kiukweli ambalo linakandamiza haki za binadamu, la ben pia lawama iko kwa jeshi la police, kutumia neno gross si sawa waweke specification kbs mbona wengine huwa wanatajwa kbs kuna hili na hili amehusika nalo, tujadili haya bila upendeleo na ushabiki, la clouds kweli angalau lina eleweka kidgo, nin kingine makonda kafanya kama sio chuki binasfi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Iran mara ya kwanza walivyoambiwa na US kwamba wana ushahidi wa kutosha kwamba wameitungua ndege ya Ukraine walibisha ila baada ya kugundua kweli US wana data zote ikabidi "WATEME NDOANO" ,Mabeberu washasema BASHITE kaua watu wana ushahidi wa Kutosha inabidi uwaelewe tu mtu kama MIKE POMPEO sio MAMBO SASA au KOVA WANAOTUNGA FUTUHI.
 
Back
Top Bottom