Ben ameuawa?Makonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.
1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
Makonda bado ni kijana mdogo ana familia inakua changa nadhani yeye mwenyewe ataangalia haya yanakuaje kwasababu inavyoonekana hawa wanaoitwa mabeberu wamemkalia vibaya..
Ni vizuri tukipata nafasi za uongozi tujue kuna kesho na tuna watoto wanakua..hili ni jambo zito sana.
Mkuu tuache mihemko. Hivi hujui Marekani haitambui hiyo ICC ndio maana sio Member?Hawatomuacha salama huyo MBWEHA.....Lazima Afikishwe ICC maana US wana Ushahidi wa Kutosha kwa matendo yake ya kuua watu.
Mungu wabariki WazunguSiongei sana
View attachment 1342906
Hivi bado mnaamini kuna watanzania wanaamini huu ujinga wenu?Ukisikia steep democratic decline ujue maana yake ni kukatika au kuzibwa kwa kasi mirija yao ya unyonyaji nchini...ndio wananchi tujue hizi kelele sisizoendana na tabia ya mwanzo ya zitto zinatoka wapi. Wamejitokeza sasa baada ya kuona vibaraka hawatafua dafu uchaguzi mwaka huu. Yafaa nchi kujiandaa kidete ili tusijenyang'anywa kibabe madaraka ya kujitawala.
Miradi ipi na mianya ipi?
Sifahamu kama USA wana mradi wowote hapa kwetu zaidi ya wao kuwekeza na au kutupa misaada.
Tufahamishe hiyo miradi na ukishindwa basi wewe ni muongo.
Ni vizuri kupeleka ushahidi huu police, kwa shambulio la lisu, hatuna proof yeyote kwa yeyote maana yake anayebeba lawama ni jeshi la police maana hao ndio wana jukumu la kuwalinda watu na pia pre lisu aliwapa taarifa za matishio aliyokuwa anayaona, sasa mkuu wa mkoa kafanya lipi kiukweli ambalo linakandamiza haki za binadamu, la ben pia lawama iko kwa jeshi la police, kutumia neno gross si sawa waweke specification kbs mbona wengine huwa wanatajwa kbs kuna hili na hili amehusika nalo, tujadili haya bila upendeleo na ushabiki, la clouds kweli angalau lina eleweka kidgo, nin kingine makonda kafanya kama sio chuki binasfi tuMakonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.
1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
Ni ajabu sana kiukweli, kipindi cha Ben mbona huu uhuru pia ulikuwa hivihivi tena yaweza kuwa hali ilikuwa ngumu zaid ya hapa sababu ya mitandao pia haikuwa na nguvu kama leo, ya zanzibar mwaka 2000 nayo vip, kweli yapo machache ambayo si mazuri na yametia doa awamu hii likiwemo la Lisu na kupotea kwa watanzania wenzetu lakini hali ya nchi ni nzuri na kawaida tu,Nawaza tu! Hivi marehem Mwangosi na kuuwawa kinyama vile, angeua awamu hii ingekuwaje?
Uzalendo ni kuumiza na kuua watanzania wenzio kama ndezi. Kweli kuna mitanzania hamna akiliMtu kupaa ni dakika tu Makonda tayari U S wamempaisha kajulikana dunia nzima
Sijui kawekeza nini huko,au ndo mwanzo wa maandalizi ya 2025.kwanza ajulikane na avume wamtengenezee watetezi kisha ionekane mzalendo wa kweli, safari ni ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni muuaji!Kwa ufupi ni kwamba wazungu wana taarifa zote za Makonda kuhusika kwenye mambo ya kihuni ya kupiga watu risasi na wengine kupotezwa.Watu wengi wasichojua ni kwamba US ina watumishi wa siri yaani CIA waliosambazwa duniani kote takribani mln kumi hvyo hakuna tukio wasilolijua.
Naona Lumumba hakuna hata mmoja anayeweza kuwafafanulia kuhusu neno hilo.Neno gross limetumika sana kufikisha ujumbe maalum
Jr[emoji769]
hahahahaha........ corridor za lumumba siyo rahisi kukaa kwa akili za kawaida angalau uwe na kaubashite kidogo.hahaha hahaha Mkuu namimi siku hizi niko kwa mkopo Buku 7 FC, kumekucha corridor za Lumumba ziko busy balaa..
Kwa hiyo kuvamia Clouds ndo gross violation of human rights? Aliua wangapi kwenye hilo tukio?Video footage kipindi anavamia clouds ni tuhuma?
Matukio yote ya utekaji hayana muhusika tunaishia kusema, wasiojulikana, does it make sense?
Acha kuwa ndani ya box we msela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kitu bora unyamaze, jamaa bado wanabunya kiulaini tena kwa ridhaa ya huyu unayemuabuduMabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Hawa jamaa hawabahatishi wanajua mengi kuliko hata sisi wenyeweHuyu atakuwa alihusika na shambulio la LISU huyu.Hii Ban kwake inamaana kubwa sana.
*Ulishawahi kujiuliza kuhusu, wanaopotea huwa wanaenda wapi?Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..