Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Makonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.

1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
Ben ameuawa?
 
Makonda bado ni kijana mdogo ana familia inakua changa nadhani yeye mwenyewe ataangalia haya yanakuaje kwasababu inavyoonekana hawa wanaoitwa mabeberu wamemkalia vibaya..
Ni vizuri tukipata nafasi za uongozi tujue kuna kesho na tuna watoto wanakua..hili ni jambo zito sana.

Sawa kabisa. Pengine hatua hii ni ya awali tu. Mambo makubwa zaidi yanaweza kufuata dhidi yake na wengine ambao bado hawajabainishwa.
 
Hawatomuacha salama huyo MBWEHA.....Lazima Afikishwe ICC maana US wana Ushahidi wa Kutosha kwa matendo yake ya kuua watu.
Mkuu tuache mihemko. Hivi hujui Marekani haitambui hiyo ICC ndio maana sio Member?
 
Ukisikia steep democratic decline ujue maana yake ni kukatika au kuzibwa kwa kasi mirija yao ya unyonyaji nchini...ndio wananchi tujue hizi kelele sisizoendana na tabia ya mwanzo ya zitto zinatoka wapi. Wamejitokeza sasa baada ya kuona vibaraka hawatafua dafu uchaguzi mwaka huu. Yafaa nchi kujiandaa kidete ili tusijenyang'anywa kibabe madaraka ya kujitawala.
Hivi bado mnaamini kuna watanzania wanaamini huu ujinga wenu?
 
Miradi ipi na mianya ipi?

Sifahamu kama USA wana mradi wowote hapa kwetu zaidi ya wao kuwekeza na au kutupa misaada.

Tufahamishe hiyo miradi na ukishindwa basi wewe ni muongo.

Wanayo miradi mingi tu kupitia US AID.
 
Makonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.

1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
Ni vizuri kupeleka ushahidi huu police, kwa shambulio la lisu, hatuna proof yeyote kwa yeyote maana yake anayebeba lawama ni jeshi la police maana hao ndio wana jukumu la kuwalinda watu na pia pre lisu aliwapa taarifa za matishio aliyokuwa anayaona, sasa mkuu wa mkoa kafanya lipi kiukweli ambalo linakandamiza haki za binadamu, la ben pia lawama iko kwa jeshi la police, kutumia neno gross si sawa waweke specification kbs mbona wengine huwa wanatajwa kbs kuna hili na hili amehusika nalo, tujadili haya bila upendeleo na ushabiki, la clouds kweli angalau lina eleweka kidgo, nin kingine makonda kafanya kama sio chuki binasfi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Kwani Tundu Lisu kasemaje?
 
Nawaza tu! Hivi marehem Mwangosi na kuuwawa kinyama vile, angeua awamu hii ingekuwaje?
Ni ajabu sana kiukweli, kipindi cha Ben mbona huu uhuru pia ulikuwa hivihivi tena yaweza kuwa hali ilikuwa ngumu zaid ya hapa sababu ya mitandao pia haikuwa na nguvu kama leo, ya zanzibar mwaka 2000 nayo vip, kweli yapo machache ambayo si mazuri na yametia doa awamu hii likiwemo la Lisu na kupotea kwa watanzania wenzetu lakini hali ya nchi ni nzuri na kawaida tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kupaa ni dakika tu Makonda tayari U S wamempaisha kajulikana dunia nzima
Sijui kawekeza nini huko,au ndo mwanzo wa maandalizi ya 2025.kwanza ajulikane na avume wamtengenezee watetezi kisha ionekane mzalendo wa kweli, safari ni ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo ni kuumiza na kuua watanzania wenzio kama ndezi. Kweli kuna mitanzania hamna akili
 
Si juzi tu mlikua mnapiga magoti mpewe mkopo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu sisi ni matajiri ndio maana tunakopa, ushaona wapi masikini anakopa... Tuna assets za kutosha na uwezo wa kulipa kifupi tunakopesheka. Unafikiri kila mtu tu anauwezo wa kukopa.. Wakitunyima hizo hela tunakwenda kuchukua hata China au tunakomaa tu na makusanyo yetu ya miezi sita..
 
Kwa ufupi ni kwamba wazungu wana taarifa zote za Makonda kuhusika kwenye mambo ya kihuni ya kupiga watu risasi na wengine kupotezwa.Watu wengi wasichojua ni kwamba US ina watumishi wa siri yaani CIA waliosambazwa duniani kote takribani mln kumi hvyo hakuna tukio wasilolijua.
Ni muuaji!
 
Video footage kipindi anavamia clouds ni tuhuma?

Matukio yote ya utekaji hayana muhusika tunaishia kusema, wasiojulikana, does it make sense?

Acha kuwa ndani ya box we msela.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kuvamia Clouds ndo gross violation of human rights? Aliua wangapi kwenye hilo tukio?

Kwa hiyo kama mtekaji hajulikani matukio yote ya utekaji tunamuangushia jumba Makonda kisa hai-make sense kukosekana mtekaji?

Hao waliokuwa wakivamia vituo vya polisi mbona USA ilikuwa haiwapigi travel ban wakikamatwa pamoja na kwamba walikuwa wanaua?

Hakuna box hapa mazee ni siasa za kijinga tu zinafanywa na haka kabetina kanakokaimu ubalozi wa USA Tz.
 
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
*Ulishawahi kujiuliza kuhusu, wanaopotea huwa wanaenda wapi?
*Majirani zetu hawatupi tena maiti baharini, na mto rufiji?
*Vipi kuhusu wazee wa kazi waliomnanihii Liso,ni Nani kiongozi wao? Kwa nini Hakuna hata ka harufu tu ka hao wahusika?
=Simtuhumu mtu yeyote yule ila nasema "ukiacha utupu kuna kitu kitajaza utupu huo"
Kwa nchi yetu kukaa kimya ama kupuuza hayo maswali na mengine wanayohoji wananchi kuhusu kupotea Kwa Haki zao za msingi. Tambueni wazi Kuwa dunia ya sasa ni kijiji, Hakuna sirini tena mtaanikwa peupe na hapo ndipo mtakapojua mko uchi! Si mmewakataza watu wasiseme pale mnapokuwa uchi!!!!
 
Back
Top Bottom