msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Nasubiri kuona makonda atajibu nini kwenye hii vita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Kumbuka kwa Jana hao unaowaita mabeberu wametupa msaada wa kijeshi na bado unawapigia magoti wakupe USD 500ml ya elimu. Bila wao hata Dawa hupati hospitalini. Kenge sana wewe.Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Makonda bado ni kijana mdogo ana familia inakua changa nadhani yeye mwenyewe ataangalia haya yanakuaje kwasababu inavyoonekana hawa wanaoitwa mabeberu wamemkalia vibaya..
Ni vizuri tukipata nafasi za uongozi tujue kuna kesho na tuna watoto wanakua..hili ni jambo zito sana.
Yetu macho tumeandika sana hapa mzee mtoe makonda akawa anatupiga vijembe yeye apangiwi kazi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wameyakologa wayanywe sasa
Na wenyewe wamechoka, wanampiga ban Makonda kwenda Marekani ataenda kufanya nini huko kwao. Ni sawa na mimi kunipiga ban kuwa rubani wa ndege wakati hata abc kuhusu hizo ndege sizijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti wameua demokrasia. Demokrasia gani ya kushiba fisadi peke yao na wezi wa mfuko wa umma. Demokrasia gani ya kutoa uhuru wenye hela kuuza na kununua haki. Demokrasia gani kurusu rushwa kutawala na wananchi kua watazamaji tu kwenye uchumi ukimilikiwa na wageni. Demokradia gani wananchi wao kubakia manamba tu. Hiyo ndio demokrasia ya kiliberali huku kwetu inatoa mwanya wa nchi kugeuzwa shamba la bibi...haitufaiSiongei sana
sadiIView attachment 1342906
Hapana, hapo ni wale watuhumiwa wa ugaidi wengi wao kutoka mkiru, hakuna aliyepelekwa mahakamani, uwe na hatia au la ukikamatwa hauridi.Weweeeeeee, Sababu ni nini? Kuikosoa serikali? Mbona hatari sana?
Usitufanye watoto hivi ujinga aliokuwa anaufanya ulikuwa huoni anza sakata la vyeti, njoo uvamizi wa clouds, na ujinga mwingine nyuma ya pazia ulikuwa ni ushoga etimakonda hajazuiwa kwa sababu amefanya kosa, sababu kubwa amepinga ushoga
japo simkubali mkoromije ila katika hili msishabikie
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mungu ni mwema kila wakati na atatutendea Taifa letu yaliyo mema tu. Naamini Magufuli amechokwa na kila mtu mpaka na wale waliomsaidia kuiba kura akina Lubuva, Kipilimba, Nape na Kinana. Na lazima Mkutano Mkuu umtose kama mgombea wa CCM hapo August 2020. Kama washauri wake aliamua wawe ni akina Makonda, Bashiru Ally na Pole pole badala ya wazee wetu wastaafu wenye busara na upeo basi anawajibika kwa haya yanayotokea.Siongei sana
View attachment 1342906
Si juzi tu mlikua mnapiga magoti mpewe mkopo?Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Ana safari ya kwenda Wuhan huko Uchina mwezi huu.
Kiujumla Ma CCM ni wajinga mno..pamoja na werevu wachache waliomo chamani wamekuwa wapuuzi....UMEM SAHAU YULE MPUMBAVU MKUBWA ANAYE JIITA "MAGONJWA MTA UMBUKA" AISEE THIS GUY IS A LOSER SIJA PATA KUONA. VERY STUPID GUY
Mh! Itakuwa ishue ya kuyakamata mashoga, hivi kwani makonda ana nyumba marekani? Akae tu hapa akichoka dar anaenda mwanza kula sattoMakonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.
1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
Duh! Hadi nasisimka, kuna watu kazi zao ni ngumu sana duniani, kazi ya kuuwa binadamu?Hapana, hapo ni wale watuhumiwa wa ugaidi wengi wao kutoka mkiru, hakuna aliyepelekwa mahakamani, uwe na hatia au la ukikamatwa hauridi.
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..