Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

Nimesoma comment ..zinasema tuache uhuru wa mahakama.

Serikali chini ya DPP ndio imefungua Kesi...na DPP anaweza kuondoa hiyo Kesi

Hizo Sheria wazungu ndio wametufundisha...Waafrika tunajua tu Mila na desturi

Sasa Naona akili za kibumunda Zina mahakama haaingiliwi ...shame on you
 
Wasipomwachia watakula kichwa cha mama kama walivyokula cha Meko??
Serikali ndio imefungua Kesi...

DPP ndio imefungua Kesi

Serikali ifute Kesi

Enyi vilaza acheni kuspin maneno
 
Amwachie kwa Sheria ipi?,mahakama ni muhimili waache ufanye kazi zake kwa uhuru
Kipindi kilichopita waliachiwa vipi? Kwa kesi ya uhujumu uchumi ukilipa hela wanayotaka unaachiwa, je hiyo ilikuwa sheria ipi?
 
Mkuu hilo halijui kitu bora uliambie ukweli ni limbumbu fulani
 
Wana familia nimewawekea clip ya walivyosema wafadhili wetu juu ya hali ya demokrasia hapa nchini.

Your browser is not able to display this video.
 
Wana familia nimewawekea clip ya walivyosema wafadhili wetu juu ya hali ya demokrasia hapa nchini.

View attachment 2030464
Acha akili za kitumwa wewe, Nyerere angekucharaza bakaora kali sana kichwani mwako unaaibisha kazi aliyoifanya 9/12/1961.

Kama unawapenda sana hao wazungu kalelewe na wewe kama Lisu na Lema.
Mbowe atawajibika kwa damu zinazomlilia.
 
Acha akili za kitumwa wewe, Nyerere angekucharaza bakaora kali sana kichwani mwako unaaibisha kazi aliyoifanya 9/12/1961.

Kama unawapenda sana hao wazungu kalelewe na wewe kama Lisu na Lema.
Hao hao ndiyo mnaenda kuwapigia magoti kuomba barakoa
 
Tumeyataka wenyewe
 
Amwachie kwa Sheria ipi?,mahakama ni muhimili waache ufanye kazi zake kwa uhuru
Hamna jeuri ya kushindana na wafadhili wenu maana kila kitu mnatembeza bakuli kwao
 
Bunge la mashoga. Kwani hawajui kwamba tanzania ni nchi huru? Wajadili haki za binadamu ulaya ndio eneo lao. Wana mengi ya kujadili sio kujiingiza mambo ya nchi zingine.
Kwani wewe umewacha lini?
 
Huyo kazi yake ni kupiga zumari tu
 
Kwani Saudia wao ni watembeza bakuli kama nyinyi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…