Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

Kweli kabisa,nikiwaza Kagame anavyowaua wapinzani,hata waliokimbia nchini kwake,na anasifiwa na beberu,nachoka kabisa.
 
Sie ni watembeza Bakuli kama Uganda na Rwanda na Wapinzani wao wanaumizwa zaid ya wa hapa TZ lakin bado ni vipenzi vya wama Magharibi
Kwani Saudia wao ni watembeza bakuli kama nyinyi?
 
Basi sawa
 
Wameanza kumuandama mama mapema yaaani huko mbeleni sjui itakuwaje
 
Hili Bunge halinaga meno yoyote yale,ndio shida yake ilipo hapo.Litapiga kelele weeeeh na keshokutwa utasikia limetoa msaada wa mabilioni ya fedha.Wait&see.
Sidhani kama itatokea Tena. Kama umemsikiliza hapo ameongelea hapo la maneno matupu halaf misaada inaendelea
 
Sie ni watembeza Bakuli kama Uganda na Rwanda na Wapinzani wao wanaumizwa zaid ya wa hapa TZ lakin bado ni vipenzi vya wama Magharibi
Usijilinganishe na Saudia bro ni sawa na mbingu na ardhi
 
Si tunafanana kwny kuonea Wapinzani kama tunavyowaonea Makamanda wa Chadema, pia Chadema wa Saudia wanalilia Katiba mpya kama Chadema wa kinondoni Makaburini
Usijilinganishe na Saudia bro ni sawa na mbingu na ardhi
 
Hii kesi iendelee hivi hivi hadi tufike Mahakama ya Rufaa ili CCM na Serikali yake dhalim wazidi kuumbuka

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Si tunafanana kwny kuonea Wapinzani kama tunavyowaonea Makamanda wa Chadema, pia Chadema wa Saudia wanalilia Katiba mpya kama Chadema wa kinondoni Makaburini
Pia ujeu kuwa Saudia hakuna kiongozi aliyewahi kujenga uwanja wa ndege kijinini kwao
 
Kwa ssbabu wamekuwa Viongozi wakati tayari Chato yao ina Airport!

Kwani tukimpa Nchi mwana chato mwingine atajenga Airport nyingine chato?
Pia ujeu kuwa Saudia hakuna kiongozi aliyewahi kujenga uwanja wa ndege kijinini kwao
 
Mungu ni mkubwa na yupo kazini siku zote
Kuna mambo mengi sana yamefanywa na yanafanywa na Serikali hii na hakuna sehemu ya kuyasemea kwani hata vyombo vya habari haviwezi kuyaripoti ila kupitia kesi hii tutayajua mengi, si unaona hata wasiojulikana na mbinu zao tumeanza kuzijua. Ndiyo maana watu wengi wamepotea wakitafutwa hadi vituo vya Polisi hawapatikani kwa vile wanabadilishiwa majina,wakiwatesa wakifa mikononi mwao ndiyo wanawafunga kwenye sandarusi na kuwatupa mtoni au baharini. Yapo mengi saaana hatujayasikia bado lakini kupitia kesi hii tutayajua. Wacha mvua inyeshe tuone wapi panavuja. Kesi hii ni mpango wa Mungu kuimbua CCM na Serikali yake dhalim.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Inakufaa nini kutesa wanadamu wenzako kwa ajili tu ya madaraka au kufurahisha kundi lako!?

Kufumba na kufumbua utakuta hayo madaraka haunayo tena na utaanza kujuta kwa uliyoyafanya.

Samia muachie huru Mbowe na wafuasi wote wanaoonewa kisiasa,acha kiburi cha uzima. MWAKA HUU UKIPITA BADO WANASHIKIRIWA NITAINGIA CHUMBA CHA NDANI KUANZA KAZI NA MUNGU.

He created and He can destroy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…