Just as it is spoken in revelation, there will be the AntiChrist and a false prophet.Kazi ya Mejesuits (Misukule ya Vatikani) hii katika harakati za kumsafisha Papa.
Let me teach you with impeccable exhibits:Hata akiwa 666 siye mpinga Kristo, Mpinga Kristo anabakia kuwa Papa aliyeanzisha uislam. 216 - The Islamic Connection / Total Onslaught - Walter Veith - YouTube
Huelewi wala hujaelewa nilichoandikaYou have written this out of ignorance. Kuna sababu 2.
1. Wakatoliki wengi unaokutana na ni ignorant. Na hiyo ni strategy, hawawezi kujibu kwasababu hawana hoja. Wanakaririshwa sala.
Wanapambana na ukweli upi?2. Jesuits wanapambana na ukweli strategically, kwa kurewrite historia, kudevice interpretations za unabii ambazo zinamuondoa papa kama mpinga kristo, wanachakachua vitabu vya E G White na Biblia mfano NIV, RSV, Douay. Na Mkuu wa chuo unawasadia katika kazi hii, kumbuka habari za Makabayo, Kumbuka uzi kuhusu E White, n.k. na sasa kupitia uzi huu.
Nishakuzoea wewe,kila ambae anakupinga ni Jesuits3. Jesuits are tricky, wanajifanya wanapingana hapa aafu baadae wanakutana parokia kupokea ujira.
Hakuna tusi kubwa kama kudai Papa ni Mpinga Kristo bila ushahidiUtwambie tusi tulilo watukana RC! Tunaandika isipokuwa kwa ushahidi wa Biblia, machapisho ya Kikatoliki na Historia. Sijanukuu Great Controversy kwasababu najua mtakavyo luka.
Tutaquote Vatican.va, Katekismu na viapo vyenu vya siri period
Na nadhani kuna haja ya kuwapotezea wote wale ambao wana mambo yafuatayo
1;Ukiwauliza swali hawajibi na kuleta maneno ambayo hayahusiani na ulichowauliza
2;Unatoa hoja na badala ya kuja na hoja ya kujibu hoja wanakuja na kupachika ma copy nd paste yao
3;Wale ambao wenyewe ni kutusi tu bila kujadiliana kwa heshima
Mkuu nadhani silaha nzuri ya kumfanya mtu akajisikia vibaya hadi akaipiga monitor yake ngumi ni kumpotezea tu bila kumjibu,maana hii ni style ya "Mpinga Kristo" na ni nzuri sana ....!!
Zungumza kwa vietendo. Lete link na sio kuuliza kama vite unatishia kwa mikwara.Ukweli saa nyingine unauma kama tusi vile, lakini wa kuokolewa wanaokolewa na wa kupotea wanapotea.
Kumbuka kwamba kuunganisha swali na jibu nayo ni sayansi. Usipoijua utahisi hukujibiwa. Niwakumbushe tu kwamba mada ni Papa ni Mpinga Kristo. Tumejadili sana, sasa ni wakati muafaka wa kutafakari utendaji wa Mpinga Kristo leo na mbinu anazozitumia.
Nikumbusheni basi tusi nililotukana RC. Au kusema Jesuits ni misukule ya Papa? Hilo sikusema mimi, alisema Papa Benedict mwaka 2008 na ushahidi upo kwenye website ya Vaticani ukitaka link nitakupa.
Zungumza kwa vietendo. Lete link na sio kuuliza kama vite unatishia kwa mikwara.
Wewe huwa napenda uwepo kwenye mijadala kwa sababu moja yaani we ni mchekeshaji wa kijiwe, yaani kwa maana nyingine ni mshehereshaji tu...
Maana nikianza kuweka aya za quran nadhani hali inaweza ikabadilika... na nikikuuliza maswali nadhani unaweza ukachukia, busara yangu inaniambia nikuache uendelee kutubirudisha tu...
Wenzako wasabato wanadai nyie ni miongoni mwa Watakatifu mliouliwa na Papa ushahidi ni kutoka kwa msabato Lawkeys aliyotuwekea orodha ya watakatifu waliouliwa na Papa kwenye uzi ule mwingine...
ngojea niishie hapo...
nyie watu ni noma, nimesoma hapo yaani kila issue Papa anasingiziwa hadi kuchakachua maandishi ya Ellen G. White Jesuits wanaambiwa wao wanafanya hivyo wamejipenyeza hadi huko kwenu hadi kwa Wasabato hao jamaa ni noma, hawana tofauti na mfumo kristo, sasa imekuwa kama utamaduni kila kitu sehemu kikienda ndivyo sivyo wa RC wanasingiziwa wamekuwa kama punching bag...
Lakini katika ibada zao sijawahi kuona waki deal na imani za wengine, wala wakitoa shutuma...
CC: RGforever
let me teach you with impeccable exhibits:
for example, the mahdi is said to appear on the world scene riding upon a white stallion, and some islamic commentators point out that the white horse rider in revelation 6, is the mahdi which was predicted by john in the apocalypse. The mahdi will bring islamic justice in a peace treaty for 7 years. This is interesting as daniel 9:27 point out that a "prince that will come," will make a covenant for seven years and break this covenant with israel in the middle of the seven. One of the strongest points to parallel the biblical antichrist to this unknown person, who will arise, is in revelation 20, where any person who receives christ in the tribulation and rejects the worship of the image of the beast and refuses to receive the mark, name or number, will be beheaded (rev. 20:4).
it is globally known that one of the methods of capital punishment in islamic nations, including saudi arabia, is beheading. This method was also employed during the roman empire, as paul himself was beheaded, along with several other noted apostles.
Mkuu wa chuo wazee wa madevu ni wapi hao? kujenga mashule mengi na mahospitali sio kigezo cha kwenda PARADISO,Mungu haangali hivyo vitu unaweza kuwa umevipata kwa dhulma kinachoangaliwa umevipataje?Jamaa huwa wapo smart sana huwa wamebase kwenye maendeleo zaidi ndio maana wameendelea sana mkuu, nadhani pia ile shule ya viongozi wao na wao wenyewe inasaidia sana...
ndio maana Wazee wa Madevu huwa wanakomaa nao lakini huwezi ona wakijibizana nao mkuu kama unavyosema, wenyewe wanaendelea kupiga kazi tu kwa duniani Idadi yao ni kubwa kwa madhehebu yote...
Kweli mkuu kuna kitu cha kujifunza...
Nope, not RC at all. It is Muhammadans who are part of that. In fact, Mahdi is the guy.
The similarities between Islams Mahdi and the Christians anti-christ is absolutely stunning, check it out. ^
It seems very evident that Islam could potentially be the one world religion / government that takes over as told in revelations, by deceiving many. This makes particular sense to me because who else would behead Jews and Christians other than Muslims? Certainly not atheists, they generally don't care. However ..
Qur'an (4:74) - "Let those fight in the way of Allah who sell the life of this world for the other. Whoso fighteth in the way of Allah, be he slain or be he victorious, on him We shall bestow a vast reward."
Qur'an (4:104) - "And be not weak hearted in pursuit of the enemy; if you suffer pain, then surely they (too) suffer pain as you suffer pain..." (ooph, what happened to turn the other cheek? ... I guess those darned Jews corrupted the bible to demote violence ...)
Check this out, I mean...what else can you say but...DUH?
"And I saw thrones, and they sat on them, and judgment was committed to them. And I saw the souls of those who had been beheaded for their witness to Jesus and for the word of God, who had not worshipped the beast or his image, and had not received his mark on their foreheads or on their hands. And they lived and reigned with Christ for a thousand years." (Revelation 20:4)
Do you guys realize how often beheading occurs for our faith?! How much worse could it potentially get? I'm assuming far worse. Especially considering the fact that Obama is INDEED a Muslim, there is no denying that fact.
Watch all parts of Perry Stones video please, and if you could, watch how John could have potentially seen "In the name of Allah" as opposed to 666, talked about by Walid Shoebat. Which would make sense if Islam took over the world, enforced sharia law, and forced those who wanted to buy / sell to take the mark of "In the name of Allah"
Also, it is no secret that Muslims believe Islam will be the reigning religion very soon, and it seems as if Obama is in the midst of trying to fulfill this prophecy as well, if you have time, check out Perry Stones video on Obama fulfilling islamic prophecy. Look at all the democrats who defend Islam till their last breathe, they couldn't even comprehend the fact that the "hearing on the radicalization of Islam" was not about all Muslims, as there were Muslims among the panel, they insisted on personally degrading these Muslims, and would not come to the fact that the republicans were talking about "radicalization" as opposed to "Islam". Where in fact I think the republicans were being far too politically correct in the first place.
The Bottom line: Yesu aliyebeba laana zetu pale msalabani anatakiwa kufuatwa: maana ya Yesu sio wekungu uliochanganyika na weupe. Bali Mungu ashinda.We mbulumundu wa kishumundu usiandike km huna makalio.Hakuna Dini ktk DUNIA HII inayomuheshimu yule YESU WA KWELI (sio yule kibaka wa msalabani) KAMA UISLAMU.Sisi waislamu ktk VITABU VYETU Huwezi kukuta SIFA CHAFU YA YESU WA KWELI HATTA MOJA.Nyie Wanafiki mnaosema MNAMPENDA na kumfuata Yesu Hebu tazama Mnavyosema ktk Hicho kitabu chenu cha kishetani.WAGALATIA 3:13.Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mtiWewe 2013 Nakuuliza MWENYE LAANA Anastahili KUFUATWA?Cc. WagaLATIA WOTE.@Waabudu sanamu la MZUNGU WOTE.Na @WAEFESO wenye laana wote.
The Mahdi As World Ruler
As we have seen from the Islamic traditions and Muslim scholars, the Mahdi, like the Antichrist, is also prophesied to be a political and military world leader unparalleled by any other throughout world history. The Mahdi is said to "fight against the forces of evil, lead a world revolution and set up a new world order based on justice, righteousness and virtue." [SUP]1[/SUP] At this time, according to Islamic tradition, the Mahdi is said to preside over the entire earth as the final Caliph of Islam. And of course as we saw in the last chapter, the Muslims will, "take the world administration in their hands and Islam will be victorious over all the religions." Without question, Islam views the Mahdi as one whose rule will extend over all of the earth. Clearly then, we see that the Antichrist and the Mahdi are both described as being political and military leaders the likes of which the world has never before seen. While many powerful leaders have arisen throughout world history, the descriptions given concerning both the Antichrist and the Mahdi surpass any that have yet arisen. But the Mahdi and the Antichrist are both described as being more than merely political and military leaders. They are both viewed as being supreme religious leaders as well.
Read more: Chapter Five
Let me teach you with impeccable exhibits:
For example, the Mahdi is said to appear on the world scene riding upon a white stallion, and some Islamic commentators point out that the white horse rider in Revelation 6, is the Mahdi which was predicted by John in the Apocalypse. The Mahdi will bring Islamic justice in a peace treaty for 7 years. This is interesting as Daniel 9:27 point out that a "prince that will come," will make a covenant for seven years and break this covenant with Israel in the middle of the seven. One of the strongest points to parallel the Biblical Antichrist to this unknown person, who will arise, is in Revelation 20, where any person who receives Christ in the tribulation and rejects the worship of the image of the beast and refuses to receive the mark, name or number, will be beheaded (Rev. 20:4).
It is globally known that one of the methods of capital punishment in Islamic nations, including Saudi Arabia, is beheading. This method was also employed during the Roman Empire, as Paul himself was beheaded, along with several other noted apostles.
Hebu tueleze sanafiti vipi katika sifa za Mpinga Kristo kama zilivyoainishwa kwenye Daniel 7.
Au ndio walewale Majesuits mnafanya kazi yenu.
Boko haram nimekusoma! pia anaye hukumu ni Mungu sio binadamu...Mkuu wa chuo wazee wa madevu ni wapi hao? kujenga mashule mengi na mahospitali sio kigezo cha kwenda PARADISO,Mungu haangali hivyo vitu unaweza kuwa umevipata kwa dhulma kinachoangaliwa umevipataje?
Nakujibu kwasababu angalau sasa umeandika maelezo yako mwenyewe na sio copy and paste zako zile ambazo hazina kichwa wala miguu,nitakachokuuliza hapa ukashindwa kunijibu na kuweka hayo ma copy and paste yako usidhani nitajisumbua kukujibu
Huelewi wala hujaelewa nilichoandika
Wakatoliki ni pamoja na mapadre na waumini,kama waumini hawajui ni kwanini mapadri wasiwajibu kama lendo lao ni ku twist mambo?
Halafu unasema "wakatoliki wengi" hii inamaana sio wote,hao wachache mbona hawajisumbui kujibizana na nyie?
Wanapambana na ukweli upi?
Kama ni hiki mnachokisema nyie nioneshe ni wapi wamewajibu,kama hakuna walipowajibu umesema uongo
Halafu nyie si ndio ambao mnasema kuwa kanisa katoliki ndio liliuwa watu kwasababu tu mtu alikutwa na Biblia,sasa hebu niambie hizo mbinu za kuitwist au kuchakachua Biblia zilifanyika au zilianza lini?
Nishakuzoea wewe,kila ambae anakupinga ni Jesuits
baba yako siku akihama Kanisa lako atakuwa amegeuka Jesuits
Hakuna tusi kubwa kama kudai Papa ni Mpinga Kristo bila ushahidi
Halafu hujui hata ushahidi ni nini
Vitabu vya kikatoliki sio ushahidi
Maneno ya mapadri au makadrinali sio ushahidi
Maneno ya Ellen Goud White sio ushahidi
Copy and paste ya aina yoyote sio ushahidi
Ushahidi pekee ni neno la Mungu tu
Neno la Mungu linasema kuwa Mnyama wa mwisho ambae ndio Ufalme wa Mwisho kutawala hapa duniani utakuwa na sifa zifuatazo;
Sifa kuu ya Huyu Mpinga Kristo imeelezwa kwenye 1Yohana 2:22
22 Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana.
Naomba uniambie hiyo sifa Papa anayo vipi na baada ya kujibu hilo uje unipe majibu ya haya mengine hapa chini
1;Utakuwa na umbo kama la chui
2;Utakuwa na mdomo kama wa Simba
3;Utakuwa na miguu kama ya Dubu
4;Utafanya kazi pamoja na Mji [Mwanamke]
5;Utakuwa na vichwa 7 na pembe 10
6;Hesabu ya jina la mnyama huyo ni 666
N.K
Sifa ziko nyingi sana zaidi ya hizo,japokuwa hizo ni chache tu hakuna hata moja hapo iliyofit na kumfanya Papa kuwa Mpinga Kristo,kwanini nisiseme mmewatukana hawa watu?
mkuu wa chuo wazee wa madevu ni wapi hao? Kujenga mashule mengi na mahospitali sio kigezo cha kwenda paradiso,mungu haangali hivyo vitu unaweza kuwa umevipata kwa dhulma kinachoangaliwa umevipataje?
Kwa taarifa yako sijali sana ukijibu au ussijibu. I DON'T CARE. Yaani haniumizi kichwa kabisa. Copy and pest kutoka Vatican, kama unaona uvivu kusoma hayanihusu.
Hayo maswali ukawauliza Cathedra. Uwaulize pia kwanini wanawadanganya watu wasio na hatia kusujudia sanamu, kupeleka maombi kupitia marehemu Mariamu na wafu wengine wakati Yesu yuko hai?
Kama hawajisumbui hawa wachache wewe Mkuu wa chuo na RGforever mnafanya nini kupitia uzi wako wa kumsafisha Papa kuwa sie Mpinga Kristo, uzi wa Mkuu wa chuo wa kumcritise E G. White ni kwaajili ya nini?
Nimekwishaa kwambia vita ya Jesuits dhidi ya ukweli ni kubwa kwani na wewe unajua. Unataka kuseek huruma ya wasomaji. Jesuits mna kiapo cha kumwaga damu kwaajili ya kumtetea Papa na ushahidi tunao. Sijaona msabato ukiapa kuuwa mtu bali kuokoa.
Huu huu unaopingana nao wewe.
Copy na kupest thread yako ya Sababu kwanini Papa sio Mpinga Kristo ndio jibu la swali lako hapa.
Hili swali uwaandikie email Vatican watakujibu. Mimi ninachojua ni kwamba Jesuits wanachakachua Bible ili kuendeleza propaganda za Upapa.
Kwa wale wanaotaka kuju (isipokuwa Eiyer na wenzake) mnaweza kuangalia hii 214 - Changing the Word / Total Onslaught - Walte…: 214 - Changing the Word / Total Onslaught - Walter Veith - YouTube
Kama unafanana nao sana unataka nikuiteje sasa?
Unadhani mimi kama wewe mzee wa I was born a Catholic I will die a Catholic. Pole
Unazungumza kama Jesuit sasa. Unadhani ukikubali kuwa huu ndio ushahidi basi unakuwa... pole. Unanikumbusha admissibility of evidence. Uliisha jivalisha joho la hakimu (Jesuit).
Nikutumie Transcript yangu kutoka kitivo cha Sheria uone nina ngapi Law of Evidence?
HAHA HAHA, uwadanganye laymen wenzako. Unabahati ninatumia simu ningekupa elmu ya bure kuhusu law of evidence.
2 WATHASALONIKE 2.
Si ndio kazi yenu mliyotumwa kuifanya. To cast doubt in the hearts of men. Umefanikiwa sana. Ungeanza kutuonesha Epiphenes ambaye maJesuits mnadai ndie mpinga kristo ana fit vipi katika sifa hizo.
Tunawafahmu Perinde ac cadaver.