Nipo makini kufatilia hatua kwa hatua
lakini kuna mdau kasema Mungu hana dini,hili linanipa wakati mgumu kuamini.
Binafs Kupitia maandiko matakatifu naona kabisa kupitia nabii Musa,kupitia Yesu kirsto na manabii wengine Mungu alijitambulisha vyema kwa mwanadamu,
Yesu kirsto alikuja kuingunisha mwanadamu aliyejitenga na MUNGU
NIPO TAYARI KUKOSOLEWA
ila naamini kabisa kuputia agano la kale na agano jipya,Mungu katuelekeza dini ya kufuata
Mkuu,haya mambo nashindwa kuyaelewa kwa kiasi ambacho nyie mnayaelewa
Ni kwanini Danieli aliona wanyama wawili tu ambao waliwakilisha falme mbili tu kama Rumi ilikuwa na umuhimu ambao tunauona hapa?
Kitu kingine ambacho kinanishangaza ni kuwa,Danieli aliona falme ambazo zilikuja kutawala na aliambiwa kuwa hayo ni ya wakati wa mwisho [Danieli 8] kweli kabisa mkuu iliwezekanaje kushindwa kuona mnyama aliyeiwakilisha Rumi hapo kwenye Danieli 8?
Mkuu sijui ni kwanini hili linanisumbua sana kichwani,lakini huenda kuna sababu ...!!
Ni kweli mkuu, kuna mahali mwanamke anatajwa kama kanisa na kuna mahali anatajwa kama mji.
Asante kwa nyongeza
Mkuu habari hii ya empty seat ni ya ukweli? Mbona hiyo seat 666 inakaliwa na mtu tena ni mwanasiasa toka Italia anayeitwa Clemente Mastella!!!???Eiyer and Mkuu wa chuo , there is a very good information about European Parliament in this link EMPTY SEAT NUMBER 666 ,
Things are not by accident or chance.
The seat is vacant.Mkuu habari hii ya empty seat ni ya ukweli? Mbona hiyo seat 666 inakaliwa na mtu tena ni mwanasiasa toka Italia anayeitwa Clemente Mastella!!!???
Mkuu pitia hii link usije ukawa unatunywesha sumu; Around Plenary - The hemicycles
Angalizo tu lakini...
Lakini mkuu ungemjibu tu maswali yake badala ya kumshambulia yeye na kitabu chake na pengine imani yake. Inawezekana akawa hajui lakini usingemshambulia. We muonyeshe tu kuwa huyo ndo yule mnyama aliesemwa ktk Ufunuo 17:3 kwamba mnyama huyo ana vichwa 7 na mapembe 10 au labda hiyo sanamu inamuwakilisha huyo mnyama. Tueleweshe mkuu inawezekana wewe ni mmoja wa mitume mlioshushiwa ufahamu wa mambo ya bibilia na habari ya wakati ujao.
wewe shetani uliye ndani achakufundisha injili feki
Nipo makini kufatilia hatua kwa hatua
lakini kuna mdau kasema Mungu hana dini,hili linanipa wakati mgumu kuamini.
Binafs Kupitia maandiko matakatifu naona kabisa kupitia nabii Musa,kupitia Yesu kirsto na manabii wengine Mungu alijitambulisha vyema kwa mwanadamu,
Yesu kirsto alikuja kuingunisha mwanadamu aliyejitenga na MUNGU
NIPO TAYARI KUKOSOLEWA
ila naamini kabisa kuputia agano la kale na agano jipya,Mungu katuelekeza dini ya kufuata
Mkuu hebu rudia kuisoma hii sentensi yako uone kama iko sahihiUkirudi katika Daniel 9:26 kuna habari za Rumi pale, kwasababu imeandikwa watu wa mkuu atakayekuja na ukiona yule mkuu alichomokea kwenye yule mnyama wa nne, mkuu atakayekuja ni mpinga kristo, na Warumi waliuangamiza mji wa Yerusalem mwaka 70 AD...
Pia tukirudi Ufunuo 13 ndio maana tunaona yule mnyama akiwa ana sifa za Falme tatu zile zilizopita inawezekana pia kukawa na mchanganyiko inabidi kuonganisha dots kwa sababu mnyama pia anaonekana na sifa nyingi nyingi...
Halafu pia kutokana na trends ya yale matukio na jinsi yalivyokuwa yanafuatana kwa series, ilitoka Dhahabu ikafuata Fedha halafu shaba halafu chuma inamaana ilikuwa pia hivi Babeli, Umedi na Uajemi, Uyunani halafu Rumi kufuatana na historia vivyo hivyo kwa wanyama...
Naam, hicho ndicho tusemacho Waislam siku zote, hii injili mnayofundishwa ni feki, maana haiwezekani Yesu aleyhi salaa, awaite wayahudi kondoo na wewe usiye Myahudi akuite mbwa na nguruwe. Sisi haituingii akilini kama ambavyo haikuingii wewe unaeiona kuwa ni injili feki.
Sasa wewe weka hiyo mistari kutoka injili yako ambayo si feki na ukishindwa ujuwe huo wa u feki ndio ukweli wenyewe.
Hapo sasa!
Mara zote nakuonaga wewe mwe.huHawa wazungu si ndio waliokuletea wewe huo UKRISTO?
hilo HUKULIONA kuwa Ni bahati MBAYA?
Daniel 9:26 Na baada ya yale majuma sitini na mawili, masihi atakatiliwa mbali, naye atakuwa hana kitu; na watu wa mkuu atakayekuja watauangamiza mji, na patakatifu; na mwisho wake utakuwa pamoja na gharika, na hata mwisho ule vita vitakuwapo; ukiwa umekwisha kukusudiwa.Mkuu hebu rudia kuisoma hii sentensi yako uone kama iko sahihi
Kwa hiyo mkuu mnyama wa nne unafikiri ni nani kwa mtazamo wako!? na ile miguu ya chuma ni nini mkuu kwa mtazamo wako!? Halafu kumbuka mkuu katika Falme Rumi imetawala muda mrefu zaidi, pia Rumi imefanya mambo sana...Mkuu,kwa umuhimu ambao Rumi inapewa leo kwenye huu unabii,sidhani kama ingekuwa hivyo kwenye unabii [kimaandiko] isingetajwa kwa uwazi kama ilivyokuwa kwa Umedi na Uajemi na Uyunani
Bado siioni Rumi kwenye huu unabii ....!!
Poa tu...za kwako,,,
Mkuu,tatizo nililoliona kwenye maelezo yako yaliyopita ni kuwa,umesema kuwa watu wa mkuu atakaekuja ni Rumi,ngoja niseme kile ambacho nakiona hapoDaniel 9:26 Na baada ya yale majuma sitini na mawili, masihi atakatiliwa mbali, naye atakuwa hana kitu; na watu wa mkuu atakayekuja watauangamiza mji, na patakatifu; na mwisho wake utakuwa pamoja na gharika, na hata mwisho ule vita vitakuwapo; ukiwa umekwisha kukusudiwa.
Mkuu zingatia hapo nilipopiga mstari, hayo yalitendeka mwaka 70 AD baada ya Warumi kufanya hivyo...
Je mkuu anayeongelewa hapo ni nani!? tuangalie Daniel 7:8
Daniel 7:8 Nikaziangalia sana pembe zake, na tazama, pembe nyingine ikazuka kati yao, nayo ilikuwa ndogo, ambayo mbele yake pembe tatu katika zile za kwanza zikang'olewa kabisa; na tazama, katika pembe hiyo mlikuwa na macho kama macho ya mwanadamu, na kinywa kilichokuwa kikinena maneno makuu.
Kwa hiyo kumbe mkuu ni pembe ndogo katika yule mnyama wa nne, na watu wa mkuu automatically ni watu wa huo Ufalme ambaye ni mnyama wa nne, sasa huo Ufalme utakuwa ni nini, kama sio Rumi!? maana tumeona ya kwamba Warumi ndio walifanya hivyo...
Danieli hakupewa description na pia hakutajiwa kwa jina ili tuweze kumjua kwa urahisiKwa hiyo mkuu mnyama wa nne unafikiri ni nani kwa mtazamo wako!? na ile miguu ya chuma ni nini mkuu kwa mtazamo wako!? Halafu kumbuka mkuu katika Falme Rumi imetawala muda mrefu zaidi, pia Rumi imefanya mambo sana...
unitafute tafadhali, nina salamu zako!
Mara ya kwanza hukuyaelewa maelezo yangu ila kwa sasa natumai umeyapata fresh, huyo mkuu Automatically ni Mpinga kristo kwasababu katika Daniel 9:27 ndio anaonekana atafanya agano na Wayahudi na fungu la 27 ndio lile juma la 70 la Daniel yaani ile miaka 7 ya mwisho kwa hiyo siyo mfalme wa Rumi, halafu kuna resume kati ya juma la 69 na 70 kwa hiyo juma la 70 bado halijatimia, majuma 69 yote yamekwisha timia...Mkuu,tatizo nililoliona kwenye maelezo yako yaliyopita ni kuwa,umesema kuwa watu wa mkuu atakaekuja ni Rumi,ngoja niseme kile ambacho nakiona hapo
Wakati masihi anakatiliwa mbali ilikuwa ni wakati wa utawala wa Rumi,sasa huyo mkuu aliyesemwa ni nani?
Je ni mfalme wa Rumi aliyefuata au ni Mpinga Kristo?
Hebu nijibu kwanza hapo ili niweke mambo sawa kwenye kichwa changu
Sasa hapo swali linabaki kwanini hakutajwa kwa jina, Ila kwa mtiririko anaingia yeye, kwasababu mkuu unatakiwa ujiulize tena kwa nini huyo mnyama wa nne hakutajwa kwa jina!?Danieli hakupewa description na pia hakutajiwa kwa jina ili tuweze kumjua kwa urahisi
Kwenye hayo inayodaiwa kufanya ndipo maswali yangu yanapokuja,ni kwanini haukutajwa kwa uwazi kama ilivyokuwa kwa Babeli,Uyunani na Umedi na Uajemi?
Sawa! Ntakutafta
Mkuu,tatizo nililoliona kwenye maelezo yako yaliyopita ni kuwa,umesema kuwa watu wa mkuu atakaekuja ni Rumi,ngoja niseme kile ambacho nakiona hapo
Wakati masihi anakatiliwa mbali ilikuwa ni wakati wa utawala wa Rumi,sasa huyo mkuu aliyesemwa ni nani?
Je ni mfalme wa Rumi aliyefuata au ni Mpinga Kristo?
Hebu nijibu kwanza hapo ili niweke mambo sawa kwenye kichwa changu
Danieli hakupewa description na pia hakutajiwa kwa jina ili tuweze kumjua kwa urahisi
Kwenye hayo inayodaiwa kufanya ndipo maswali yangu yanapokuja,ni kwanini haukutajwa kwa uwazi kama ilivyokuwa kwa Babeli,Uyunani na Umedi na Uajemi?
Mara ya kwanza hukuyaelewa maelezo yangu ila kwa sasa natumai umeyapata fresh, huyo mkuu Automatically ni Mpinga kristo kwasababu katika Daniel 9:27 ndio anaonekana atafanya agano na Wayahudi na fungu la 27 ndio lile juma la 70 la Daniel yaani ile miaka 7 ya mwisho kwa hiyo siyo mfalme wa Rumi, halafu kuna resume kati ya juma la 69 na 70 kwa hiyo juma la 70 bado halijatimia, majuma 69 yote yamekwisha timia...
kwa hiyo sio mfalme wa Rumi wa kipindi hicho...
Halafu chukizo la uharibifu ni baada ya mpinga kristo kufanya agano na Wayahudi, kwa juma moja yaani ile miaka saba kati kati ya juma atavunja agano ndipo chukizo la uharibifu litakaposimama
Chukizo la uharibifu ni msemo wa Kiyahudi una maana ya kukufuru au kunajisi patakatifu pa hekalu...