Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes hapo ndo tatizo.. maana Mkuu wa chuo alisema kuwa 70AD Unabii ulikamilika wa kuharibiwa mahali Patakatifu. .ila bila huyo mkuu kujulikana..
Na wakati Daniel anapewa huu unabii mambo yalikuwa bado hayajatimia Inamaana yalitimia baadae wakati wa Kukataliwa kwa YESU kristo. . Ila Mkuu wa chuo anasema tena kwamba yametimia ila ni Nusu bila Mkuu mwenyewe kujulikana ni nani
Yaani hapo tu ndo nachanganyikiwa na kujiuliza swali Hili
● Kama watu wa huyo mkuu ndo walioharibu mwaka 70AD na tayari wameshakufa wote. Inakuwaje huyo mkuu aje atokeze baadae na awe na hao watu tena. Yaani tuseme huyo mkuu ajitokeze leo 2014.. atakuwaje na watu wale wake wa 70AD?
Kuna Tabaka la watu LEO HII 2014 Wanajiita WAFUASI WA ANTI-CHRIST.
Na wanaanda mipango ya kumkaribusha huyo antichrist (so they say).
Kwa hivyo tukirudi kwenye Sentensi Hio ya "NA WATU WA MKUU ATAKAEKUJA".... Basi hatunabudi KUKUBALI KUWA Upo uwezekano wa KUWEPO TABAKA LA WATU ambao wanajiita ni WATU WA MTU FULANI japo kuwa HUYO MTU HAJAWAHI KUTOKEA lkn ANATARAJIWA KUTOKEA.
Kuna Tabaka la watu LEO HII 2014 Wanajiita WAFUASI WA ANTI-CHRIST.
Na wanaanda mipango ya kumkaribusha huyo antichrist (so they say).
Kwa hivyo tukirudi kwenye Sentensi Hio ya "NA WATU WA MKUU ATAKAEKUJA".... Basi hatunabudi KUKUBALI KUWA Upo uwezekano wa KUWEPO TABAKA LA WATU ambao wanajiita ni WATU WA MTU FULANI japo kuwa HUYO MTU HAJAWAHI KUTOKEA lkn ANATARAJIWA KUTOKEA.
kwa mara ya kwanza nimekuunga mkono,hizo pembe kumi sizioni wala hayo majengo hayafanani,pale nairobi kuna jengo laduara pia basi nalo tusemejeWajinga ndio waliwao.
Hizo picha zinafanana? au hujuwi maana ya kufanana?
Na huyo ndio mnyama mwenye mapembe kumi?
e
Upunguani mwingine ni wa hali ya juu.
Hapana.
Ni wewe tu umechanganya madawa.
Biblia Inasema Huyo MPINGA KRISTO ATAKUJA SIKU ZA MWISHO WA HUU ULIMWENGU.
Kwa Point Hii peke yake Hilo Tukio la 70AD linajitoa lenyewe kuwa SIO HILI LINALODHAMIRIWA HAPA.
Thessalonians 2:3-4
3 Let no one deceive you in any way. For that day will not come, unless the rebellion comes first, and the man of lawlessness
[a] is revealed, the son of destruction
, 4 who opposes and exalts himself against every so-called god or object of worship, so that he takes his seat in the temple of God, proclaiming himself to be God.
Daniel 11:21
In his place shall arise a contemptible person to whom royal majesty has not been given. He shall come in without warning and obtain the kingdom by flatteries.
Hapo tukisoma Hizo sifa za Huyo Antichrist tunakuta kuwa Mpaka sasa HATUJAPATA MTU AU MNYAMA Aliyefanya hivi DUNIANI.
labda vijijini huko mtu alewe pombe zake halafu ajiite yeye ni Mungu.na kujiona yeye ni ufalme usio na kikomo!
Na kuhusu SIKU YA MWISHO kwa Mujibu wa QURAAN na BIBLIA Hakuna ANAEWEZA Kuitambua na Kusema Eti Huu ndio Mwisho WENYEWE.
Matthew 24:36
No One Knows That Day and Hour
36 But concerning that day and hour no one knows, not even the angels of heaven, nor the Son,[a] but the Father only
Antichrist Yuko Njiani. BADO HAJAFIKA na Huo ndio UKWELI.
kwa mara ya kwanza nimekuunga mkono,hizo pembe kumi sizioni wala hayo majengo hayafanani,pale nairobi kuna jengo laduara pia basi nalo tusemeje
nimependa mjadara.imenibidi nijikusanye kwanza kabla sijatoa maoni yangu maana nimejifunza humu kutoa maoni bila evidence ni sawa na upotoshaji
uyo atakuwa allah subhaanau tu mpinga kristo unaonaje jembe
Mtawala wa kipindi hicho wakati Warumi wanauangamiza mji alikuwa ni Tito, Lakini pia kama umeenda kule chini ukaangalia ule uchambuzi kuhusiana na yale majuma 70, ina maana na hayo yaliyokuwa yakifanyika ila ni baada ya majuma 69 na juma la 70 lilikuwa bado halijaingia, ndio maana nasema kuna gap kati ya juma la 69 na 70, kwa sababu kama ukisema ni Tito hajaweza kutimiza kuhusiana na lile fungu la 27 la Daniel, na hilo ndio juma moja la kwa Daniel lililobakia na Ufunuo ile ina base kwenye hiyo miaka 7 ya Daniel iliyobaki...Mi nadhani hapa hujapaelewa vizuri.. inakuwaje watu wanakuja kuangamiza mji bila kuwa na Kiongozi wao.. ?
Mfano
Jeshi haliwezi kuvamia sehemu bila kuwa na amri kutoka kwa Raisi. Na Raisi ndo anayezungumziwa hapo kwamba ndiye mkuu
Hapa nakubaliana na wewe kwamba ni watu ndio watakao uharibu mji ila hao watu hawawezi kuuharibu mji kama hawajapata Amri kutoka kwa Huyo mkuu ambaye amezungumzwa hapo juu
Mkuu mwenyewe ni nani sasa!? fungu la 27 linaelezea
Daniel 9:27 Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu.
Kama unakumbuka ulisema kuwa Antious alikamilisha kusimamisha Sanamu zake mule ndani ya hekalu na ukasema kuwa
Ila hapa Tena naona nachanganyikiwa kwa weww tena kusema kuwa Mpinga Kristo anakuja na bado hayajatimia
Hayo ni mambo yaliyokuwa yanaelezewa baada ya yale majuma 69 ya Daniel kutimia, ila lile juma la 70 bado halijatimia hadi sasa, hadi mwaka 90 AD hayo ya Daniel 9:27 hayakutokea, ndio maana kunakuwa na ile miaka saba ya dhiki ndio ile miaka ya juma la 70 la kwa Daniel...Yaani hapa ndo panatia moto akilini.. kwahiyo kama kuharibiwa kwa mahali Patakatifu palitimia kwenye majuma 69... palifanyikaje bila Huyo mkuu kuwepo kama iliyosema
●Daniel 9:26 biblia ya SUV inasema hivi
..........Na watu wa mkuu atakayekuja watauangamiza mji na mahali Patakatifu
●Daniel 9:26 BHND inasema hivi
...... mji na mahali patakatifu kabisa vitaaribiwa Na Jeshi la mtawala atakayekuja kushambulia...
●Daniel 9:26 biblia ya BHN inasema hivi
......mji na mahali patakatifu kabisa vitaaribiwa Na jeshi la mtawala atakayekuja...
Sasa Wewe wasema mkuu hapo hayupo ila ni watu wake ila yeye bado hajaja... ila baadae tena wasema kwamba ni kweli jambo hilo lilitoea mwaka 70AD kwamba Mahali Patakatifu paliharibiwa na Jeshi la Rumi na Titus sasa inamaa mkuu hapo ni Yule aliyeliongoza Jeshi
Confused
Ngojea nikuwekee Kiswahili cha kisasa upate concept, halafu pale nitakapopigia mstari ndio utaelewaDaniel Imeandikwa hivi
"Na watu wa mkuu atakayekuja wataangamiza mahali Patakatifu "
MKUU NDO ATAKUJA NA WATU WAKE
Tunaambiwa na Mkuu wa chuo kuwa mahali hapo paliharibiwa mwaka 70AD.. na watu wa huyo Mkuu
Sasa ndo nauliza hao watu wameharibuje bila amri ya huyo mkuu wao
Muhammad and Allah are both Anti Christ. According to the Qur'an, the Bible contains prophecies about Muhammad (see Qur'an 7:157; 61:6). Yet, when we open the Bible, we find that Muhammad is condemned as an antichrist (1 John 2:22-23)! Muslims try to ignore this by claiming that the Bible has been corrupted. But if the Bible has been corrupted, why did Muhammad say that we should go to it to find prophecies about him? If the Bible has been corrupted, why does Allah say that no one can change his words (6:115; 18:27)? If the Bible has been corrupted, why does Allah command Jews and Christians to judge by the Torah and the Gospel (5:43-47)?Suala hapa sio kuwa pamoja na mwingine. Bali tunajaribu kudadavua NI NANI HASA HUYU MPINGA CHRISTO.
Sasa usijekusahau kuwa Andiko Limetaja antichrist wengi mno lkn TUNAEMDHAMIRIA HAPA ni Yule MKUU WAO Ambae Katabiriwa kuwa ATAKUJA.
Ukiangali hio Daniel 9:26 huyo ndio MASIHI aliyetajwa hapo AMBAE atauvuruga mji wa JERUSALEM kisha Watu WA MKUU watakuja kummaliza.
Kuna vitu viwili lzm uvione hapo.
1.Huyo MASIHI MWENYEWE (Muharibifu) HAYUPO bali Ametabiriwa kuwa ATAKUJA!
2.HUYO MKUU wa Watu nae PIA Hajatokea bali Anetabiriwa kuwa ATATOKEA.
Na kuyahakiki haya nenda kasome revalation 13:5-18 utaona sifa nyingi sana za huyo Mnyama ambazo Hakuna BINAADAMU WALA MNYAMA WA SASA AMETOKEA KUWA NAZO.
Unajua hapa ni km Tumeingia msituni Kutafuta JOKA KUU LENYE SIFA NYINGI NYINGI ZA KUTISHA KABISA,
Sasa ktk kupekua pekua kwetu tukikutana na Cobra wengine watasema Huyu ndie tunaemtafuta. Na wengine wakiona Chatu au ANACONDA watasema Hakika huyu ndio yule Joka kuu.
Lkn woote hao wamefuata dalili Chache tu za lile JOKA KUU na Hawakufuata DALILI ZOTE.
Soma Hio mistari Huenda ukanielewa Kitu gani nasema.
Muhammad and Allah are both Anti Christ. According to the Qur'an, the Bible contains prophecies about Muhammad (see Qur'an 7:157; 61:6). Yet, when we open the Bible, we find that Muhammad is condemned as an antichrist (1 John 2:22-23)! Muslims try to ignore this by claiming that the Bible has been corrupted. But if the Bible has been corrupted, why did Muhammad say that we should go to it to find prophecies about him? If the Bible has been corrupted, why does Allah say that no one can change his words (6:115; 18:27)? If the Bible has been corrupted, why does Allah command Jews and Christians to judge by the Torah and the Gospel (5:43-47)?
Ngoja mkuu nikupe challenge moja
● Kama huyo mkuu atakayekuja hajulikani bado kwahiyo kilichotokea 70AD kitamuhusishaje sasa huyo mkuu ambaye unahisi atatokea baadae
Mfano huyo mkuu atokee leo.. inakuwaje wale walioharibu mahali Patakatifu 70AD wakawa ni watu wa huyu Aliyejitokeza leo?
Ngojea nikuwekee Kiswahili cha kisasa upate concept, halafu pale nitakapopigia mstari ndio utaelewa
Daniel 9:26 Baada ya majuma hayo sitini na mawili, yule aliyepakwa mafuta atakatiliwa mbali hatabaki na kitu. [SUP]m [/SUP]Mji na mahali patakatifu kabisa vitaharibiwa na jeshi la mtawala atakayekuja kushambulia. Mwisho wake utafika kama mafuriko, kukiwa na vita na maangamizi kama yalivyopangwa na Mungu.
Zingatia hapo nilipopiga mstari...
Yes hapo ndo tatizo.. maana Mkuu wa chuo alisema kuwa 70AD Unabii ulikamilika wa kuharibiwa mahali Patakatifu. .ila bila huyo mkuu kujulikana..
Na wakati Daniel anapewa huu unabii mambo yalikuwa bado hayajatimia Inamaana yalitimia baadae wakati wa Kukataliwa kwa YESU kristo. . Ila Mkuu wa chuo anasema tena kwamba yametimia ila ni Nusu bila Mkuu mwenyewe kujulikana ni nani
Yaani hapo tu ndo nachanganyikiwa na kujiuliza swali Hili
● Kama watu wa huyo mkuu ndo walioharibu mwaka 70AD na tayari wameshakufa wote. Inakuwaje huyo mkuu aje atokeze baadae na awe na hao watu tena. Yaani tuseme huyo mkuu ajitokeze leo 2014.. atakuwaje na watu wale wake wa 70AD?
Mkuu mimi na wewe HATUWEZI KUTOA HITIMISHO kuwa Mpinga KRISTO ALIYETABIRIWA ktk Vitabu vyote TAYARI KAUSHAFIKA.
La hasha!
Wengi kati yetu tunakwenda kwa Nadharia tu kwa kujumlisha 1+1.
Lkn KUMBUKA sifa Za MPINGA KRISTO zimetajwa Ktk QURAAN na BIBLIA kwa Upana sana.
Na japokuwa Baadhi ya Hawa tunaowahisi kuwa Ni wapinga kristo wana Baadhi ya ALAMA HIZO lkn HAWANA ALAMA ZOTE za ANTICHRIST.
Mfano hai ni Huyu PAPA! Ukitazama Kwenye Mitandao utakuta RUNDO ZIMA la Conspiracy theories zinazo mdadavua kuwa YEYE NI MPINGA KRISTO!
Lkn Wote wale wasemayo hiyo Hakuna hatta mmoja atakuwa tayari kwenda ktk mahakama na Kuleta Evidence ya HAKIKA 100% kuwa Huyu mjamaa ndio HUYO ANTICHRIST.
Sasa wanasema Waungwana "Time will tell" sisi wajibu wetu ni Kusubiri tu na kufanya Yale yaliosawa, hizi dhana peke yake zinaweza kututia hatiani mbele ya MUNGU.
Na nadhani km killa mmoja wetu leo hii angekuwa anajua 100% Ukweli wa mambo nadhani Wala haya malumbano tusingekuwa nayo.
Usome na Uislamu kidogo Mkuu wa chuo.
Tazama Concept ya Antichrist ktk Islamic prospective pia.
Elimu haina mwisho.