Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
hapakuwa na sababu ya kumfunga Lisu, kuteka watu, kuua watu, kutengeneza kikundi cha wasiojulikana kutisha watu wasiongee, kufunga makanisa ili watu zaidi ya milioni wasipate haki ya kuabudu kwa kosa la mtu mmoja (kama lipo). samia hakuwa na sababu ya msingi kufanya hivi,kwa sababu hata asipofanya alikuwa na uwezo kushinda uchaguzi hata bila kupiga kampeni. alishateka mioyo ya watanzania ila sasaivi wamemgeuka wote hata wale wanajifanay wanamsapoti wanamsapoti usoni ila mioyoni Mungu anajua. alitakiwa kutumia akili tu, sio kutumia nguvu.Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
View attachment 3407278
Wenye ccm yao watamwengua baada ya Trump kuingia kati siku si nyingi huenda majaliwa akawa mgombea UraisNatamani Rais Samia na mgombea wa ccm asusiwe na kutengwa na kila mtu ili abakie peke yake na familia yake
Wakiwanyima misaada wanakomba pesa zote walizoficha huko nje na hata marekaniSio tu wasitoe....wa confiscate na mali za viongoz wote wa tz hko ulaya...nq wawapige ban kusafir na waondoe misaada yote inayorun hapa tz....ili hawa watawala waache usnge
Uchaguzi upi? Tanzania kuna Uchaguzi? Hakuna Uchaguzi kuna maigizo ya Uchaguzi kuna magumashi ibirisi wa ccm wana matokeo mifukoni mwao , ccm bila Polisiccm mahakamaccm msajiliccm Tumeccm ni weupe sana, ccm bila wizi wa kura hawana nafasi hata ya udiwani, ccm ni janga kubwaHukusikia bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026? Uchaguzi tunaugharamia sisi wenyewe kwa hiyo watoe wasitoe uchaguzi upo palepale!
ccm ni waongo sana walisema ujenzi wa Reli ni pesa za ndani baada ikaja kubainika wamekopa, ibirisi wa ccm ni ombaomba si wa kuwaamini hata kidogoHela ya uchaguzi serikali ilishasema inatokana na mapato ya ndani kwa mwaka huu,
Hivyo watafute gepu lingine labda,
Kikubwa ushindani wa kweli chadema ashiriki na hoja zao wakae mezani
Reli walisema inajengwa kwa pesa za ndani lakini ikaja kubainika ni mkopo ibirisi wa ccm ni ombaomba namba one DunianiUsilazimishe mambo yasiyokuwepo, Rais wetu alishasema serikali inagharimia uchaguzi kwa asilimia 100. Uelezweje?
Yani hata kuandika hujui! Wewe ndio mtaji wa CCM!Kodi yako. Hapo unapochati tunakata mwamala.
Utapenyea wapi kwenye kubambikiwa kesi za uongo , kutekwa , kuuawaKweli tumefika pabaya. Tunategemea mbunge katika bunge la Ulaya ndio atukomboe? McAlister ana kura moja katika Bunge lenye wabunge 720! Matatizo ya Tanzania yatatatuliwa na watanzania wenyewe.
Amandla...
Mkuu, ni sisi tuliomba ujueHatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Bi Mashavu atamtuma Nchemba kwenda kukopa China au Oman tena sio?Dola milioni nani ni bilioni 18,pesa ndogo sana
Unasema hela ndogo wakati mliziomba wenyewe Sizitaki mbichiHuko kwa mabwana zako hawajengi matundu ya choo,wanya angani?.. ng'ombe wao hawanywi maji?
Nyie bila misaada mnaweza nini ?Wakatae hivyo hivyo kila mtu alinde matako yake maana misaada inakuja na mashart ya ushoga
Tatizo mamaenu alipopata madaraka alizunguka duniani kote akadanganya eti ameifungua nchi kwa R4 sasa wanataka waone hizo R4 alizohubiri na nyinyi mazwazwa mlishangilia saanaHatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Alishwajibu hataki pesa ya Mtu kwenye uchaguziMwambie Sa100 awajibu hivyo km ana ubavu
Serikali ilishasema uchaguzi huu hautagharamiwa na yoyote nje ya serikali
Hiyo pesa wanafahammu kwamba Tanzania haiitaki
Watumie Kwa kwzi nyingine