Kuna kimsemo kinazagaa huko mtaani kinasema
,ФBado hujasemaФ
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
,ФBado hujasemaФ
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni genge la matapeli tupu paleHakuna Bunge hapo ni kiwanda cha kanga.
Mwanasheria wa hovyo kabisa huyu
Daah hii imenisikitisha sana yaaaniWatu wanalipa tozo mbalimbali, wanalipa kodi mbalimbali, hali ni ngumu, maisha yamewapiga Watanzania.
Badala ya Serikali kuleta muswada wa kubana matumizi yasiyo ya lazima ili kuwapa unafuu Watanzania, yenyewe inaleta muswada wa kuzigawa fedha za Watanzania kwa kikundi kidogo cha watu ambacho hata hivyo kimekuwa kikifaidi mema ya Nchi kwa muda mrefu kabisa.
Mungu mwenye enzi, nguvu na uweza wa ajabu aingilie kati suala hili. Tunaodhani wangekuwa msaada kwa Wananchi, hao ndo wanakuwa GENGE la majizi na mafisadi.
Wabunge nao wakiamua tu, wanajiongezea posho na marupurupu ya kila aina.
Allah Akbar.
Alafu wanapewa kila kitu hata baada ya kustaafuNani atawapa kiinua mgongo wake za walimu, wanajeshi wetu JWTZ, polisi, madaktari na wauguzi, na watumishi chungu nzima?
Imagine Mke wa Rais awamu ya 4,Ana haja ya kiinua mgongo kweli? 😀😀, yeye analipwa mafao ya mke wa Rais na mafao ya mbunge? Naambiwa alikuwa mwalimu, je amefikiria kuhusu kiinua mgongo cha mke wa mwalimu?
CCM mbele kwa mbele 😀😀😀Karibuni mnisakame
JK alikuja na slogan MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA kumbe alimaanisha MAISHA BORA KWA VIGOGO WA CCMAlafu wanapewa kila kitu hata baada ya kustaafu
Kama ulinzi,nyumba, na wanaedelea kutunzwa na serikali kwa kila kitu lakini still hawariziki na wakati kuna kundi la vijana mtaani hawana Ajira ..
Yaani hii nchi tumelaaniwa
Soma vizuri hansard za bunge mkuu. Sheria inasema wataanza kulipwa immediately sheria hii ya kipuuzi itakaposainiwa na Rais. Na Rais naye mume wake ataanza kulipwa haraka iwezekanavyo. Nchi ya kijinga sana hii.Watalipwa ikiwa hao waume au wake zao watakufa wakiwa kwenye uongozi. Mfano mwigulu afe leo na sheria ishapitishwa basi mkewe atapata mgao ila akimaliza kipindi chake ndipo afe basi hakuna mgao.
Hebu iweke hapa tuisome maana mimi kwa maelezo na uelewa ni pale wanapokufa hao viongozi wakiwa kazini. Iweke tuijadili hapa kwa pamoja tuweze ielewa woteSoma vizuri hansard za bunge mkuu. Sheria inasema wataanza kulipwa immediately sheria hii ya kipuuzi itakaposainiwa na Rais. Na Rais naye mume wake ataanza kulipwa haraka iwezekanavyo. Nchi ya kijinga sana hii.
Soma hii story hapo kwenye uzi mkuu. Inasikitisha sana aisee!Watalipwa ikiwa hao waume au wake zao watakufa wakiwa kwenye uongozi. Mfano mwigulu afe leo na sheria ishapitishwa basi mkewe atapata mgao ila akimaliza kipindi chake ndipo afe basi hakuna mgao.
Jamaa wanapenda kuitafuna nchiSoma hii story hapo kwenye uzi mkuu. Inasikitisha sana aisee!
View attachment 2800194
Hii nchi ni ya kipumbavu sana aisee! muswada gani wa kipuuzi huu? Sijawahi kuona miswada ya kipumbavu kama huu tangu nizaliwe hapa duniani.Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu Wastaafu walipwe kiinua mgongo kwa kipindi cha uongozi wa Wenza
wao.
Akiwasilisha marekebisho hayo leo Oktober 31,2023 wakati wa kikao cha Bunge Mjini Dodoma, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dk. Eliezer Feleshi amesema kuwa vifungu vipya vya 9A, 12A na 14A vinapendekezwa kuongezwa katika Sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa Kisiasa, Sura ya 225.
Sambamba na marekebisho hayo, vifungu vya 11, 13 na 15 vinapendekezwa kurekebishwa ili kuweka utaratibu wa malipo ya fadhila kwa Wenza wa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu endapo watafariki wakiwa madarakani au baada ya kumaliza muda wao na kufariki kabla ya kulipwa mafao au stahiki zao.
Kwa mujibu wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Kifungu cha 18 kinapendekezwa kurekebishwa ili kuweka utaratibu wa wenza wa Spika Mstaafu aliyefariki kupokea mafao ya pensheni ya kila mwezi.
Muswada huo uliopitishwa utawasilishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aweze kuutazama muswada huo na akiuridhia atasaini ili iwe sheria.
#MillardAyoBUNGENI