Bunge liitishe kikao cha dharura kujadili kufungwa kwa ubalozi wa Denmark 2024

Waende zao! Hatuna haja ya misaada ya masimango, na masharti magumu ya riba.
 
Bunge hilo hilo (kamati ndogo y chama) limehusika au kufumbia macho ulaji, muulize CAG Asadi, halafu likae kujadili nini?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Mbowe atakuwa nje soon, kesi yake haina mashiko, na ataenda Ikulu ataongea na Rais yataisha Mkuu, lets tuwe na kasubira kadogo hamna haja ya kumtukana, anajitahidi kwa uwezo wake
 
Ni kwa Tanzania tuu?!!Tuanzie hapo kwanza.
 
Kwa hiyo bunge litabadili maamuzi. umesema sababu ni global development strategy kumbe sio personal na uhusiano wake na Tanzania. Bunge halibitajiki kukaa hata kama sababu zingekuwa personal. Let us live our life, ya nini tusum uke eti tutanyimwa misaada. hatuka wafukara kiasi hicho.
 
Si kweli, nchi gani ina demokrasia perfect duniani kwa sasa?
Hata vitabu vya dini ukivisoma,watu hawakuelewana kwa imani moja walifikia hata manabii kuwauwa,haya ndio maisha ya kutofautiana hata kwenye familia tunatofautiana.
 
Sawa Mkuu, then tunafanya nini kutoka hapa tulipo?

Tunahitaji mustakabala mpya wa matangamano. Uliopo haufanyi kazi.

Kama bunge, mahakama na serikali vingekuwa mihimili iliyo sawa na yenye kujichimbia sawa sawa, uwajibikaji kwa raia ungekuwepo.

Katiba mpya tofauti na iliyopo, itatuvusha.
 
Tumeamua kuukubali ujinga na kuukataa ukweli. Wenye akili wataondoka wengi. Nchi imekuwa ya ajabu sana hii
 
South Africa hawana!?
 
Wengi wamesoma juujuu tu. Ila Denmark wanafunga ofisi Tanzania kwa sababu chanya kabisa. Walifungua ofisi ya ubalozi mwaka 1963 kwa ushwishi wa J K Nyerere ili kutusaidia kwenye maeneo ya elimu, afya, maji na utawala Bora. Baada ya miaka 60 wametathmini wameona tumepiga hatua kubwa, hivyo basi ni not waende wakatumie raslimali zao kwenye nchi zilizo na uhitaji zaidi za eneo la Sahel.

Nchi za Sahel ni Mauritania, Mali, Niger, Burkina Faso and Chad zina face "many challenges, including chronic insecurity, rising extremism, a lack of economic prospects, and poor access to education, employment and essential services such as water and electricity. Climate change is weakening the region even more" (Google).

Namnukuu Balozi anasema; "Kipaumbele changu kama Waziri wa Mambo ya nje ni kuhakikisha usalama wa watu wa Denmark katika ulimwengu ambao demokrasia, haki za binadamu, na madili yetu vinakandamizwa."

Kwa maneno hayo wanakokwenda ni kule kunakokandamiza haki za binadamu yaani Mauritania, Mali, Niger na Chad.

Kama unabisha nenda katafute democracy index kwenye ripoti ya Economic Intelligence Unit (EIU)

 
Huyu mama na chama chake wanavurunda vibaya tuamke!
 
Hatuna namna Mkuu. Tutalazimika kusubiria maamuzi ya mahakama lakini inaonekana wazi toka mwanzo, Serikali inajua kuwa Mbowe hana kesi, hivyo ataachiwa na mahakama. Lakini wao lengo lao litakuwa limetimia, maana nia ni kumtesa, kumsumbua na kumtisha.

Mashtaka yenyewe ni ya kijinga kabisa.

1) Utafiti wa kitaalamu Duniani unaonesha kuwa gharama ya chini kabisa kufanya ugaidi ni dola 10,000 (ndiyo maana ukisafiri na cash kuanzia dola 10,000 kwenda juu unahitajika kupata kibali). Mbowe wanasema alifadhili ugaidi kwa dola 250!! Katika hali ya kawaida inaingia akilini? Uthibitisho kuwa alikuwa anafadhili ugaidi ni kwa sababu aliwatumia hao walinzi wake laki 6. Kama kumtumia mtu laki 6 ni kufadhili uhalifu, wewe na mimi tumefadhili uhalifu mara ngapi?

2) Wanasema mipango ya ugaidi ilikuwa kabla ya uchaguzi 2020. Hivi kweli umegundua hatari ya shambulio la ugaidi, utakaa kimya usubirie mpaka siku anaposema anafanya kikao ndiyo ukamkamate?

3) Eti ugaidi ilikuwa ufanyike kwa kulipua filling stations. Hivi ukalipue vituo vya mafuta, lengo ni kufanya ugaidi dhidi ya wenye vituo vya mafuta, wanaojaza mafuta au kulitisha anga?

Ukiangalia mashtaka yenyewe, ni upumb.avu mtupu. Hata walioorodhesha hayo mashtaka, lengo siyo kushinda kesi. Wanataka washindwe, lakini watakuwa wamefanikiwa kumtesa, na kukatisha harakati zile za kudai katiba.
 
Bunge liite kikao kujadili Denmark kufunga balozi ... Duuuuuh hii mbona hatari
 
MCC ya Marekani ilisitisha ufadhili wake ambao ni mkubwa mara elfu kuliko vimiradi vya visima vya pump vya hao Danida na nchi ilisimama sembuse upumbavu huu inaopendekeza?

Usiwe zwazwa mkuu hao sio wajomba zako,lipa kodi ukiletee maendeleo yako na ya nchi ,hii mambo ya kutegemea hisani ndio maana mnapalatwa huko Ulaya na akina Amsterdam
 
Mother kabebeshwa tu zigo la Mbowe, its time for her kulitua! Ila Mbowe naye akitoka aache kuroa amri, tunataka hiki na kile, nafikiri kuna njia mbadala za kuomba mkitakacho, Mama yupo tayari, are you?
 
Ndio uwezo wa akili yako ilipofikia wewe Tale Tale. Hao uliowataja wanachangia kiasi kwenye bajeti na huduma za kijamii?
hawatakiwi kuchangia kima wewe! tunatakiwa kukaa na kyfanya nao biashara..bwege wa kike ww!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…