Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Wewe ni CDM unashauri bunge lenye wabunge 99% kutoka upande unaotawala, na TAL alipokuwepo hapo TZ ulikuwa unapenda sana kuwa unasimama karibu naye huku ukipiga makofi. Hii tabia ni uzabinazabina. Wakutane kwa lipi wakati uchaguzi tayari ulishafanyika ukomo wa nini, umekata tamaa kupiga debe upande wa pili? There shall be no term limit for presidency in Tanzania, do not hitch on a few individuals opinions jwhich motive and intent are marred with personal interests hideout shield.Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na wapinzani wote.
Kwa hiyo tufanyaje😁Hakuombwa kwa utaratibu na hakupewa sababu zenye msingi.
WHuwa ninacheka anapojisifu kukusanya Kodi za matrilioni na kusahau misingi iliwekwa na watangulizi wake Kama vile kuasisi TRA na kuanzisha mashine za EFD.
Acha kumfananisha Nujoma na vitu vya kijinga.Kuondoa ukomo sio sawa, kama tumempenda tumuongezee muda kama Namíbia walivyo muongezea muda wa miaka mitano Rais Sam Nujoma.
Wewe unaniona nipoje? Mimi siwezi kujiona.Muone! Sijui upoje
Sio kosa lako, hebu soma comment yangu na sehemu niliyo"quote". Jitahidi kushughulisha hiyo karakana ya shetani maana ubongo wako hautumiki.Mleta uzi huu, AMETAJA JINA LA MTU?
Huyu usihangaike naye, hamaanishi anachosema maana yuko upande wako.toa upumbavu wako hapa
Haya namba moja wa Tanzania, umesomeka. Ila uache shobo za kuwaona watangulizi wako hawakufanya lolote, wewe pekee ndiye umefanya.Nyie ni wachawi tu.
Unaweza kupanga kuwa na gari lakini umri wako ukaisha bila kununua lakini akaja mjukuu wako kwenye ukoo akanunua sasa hapo utasema wewe ndo ulianzisha?
Kuwa na wazo sio kutekeleza,
Kuna mifumo hata usipoianzisha wewe wajao wataianzisha kwa kuwa ni mahitaji ya wakati huo.
W
Mkuu mbona umebadirisha mtazamo juu ya raisi MagufuliKabisa wakutane haraka sana na tutamlazimisha atake hasitake.
Baada ya kuondoa ukomo halafu ashinde mzee Rungwe inabidi bunge likutane haraka Tena kurudisha ukomo.Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na Wapinzani wote.
Hahahaha Robert kyagulanyi.UMESEMA KWELI KABISA, WENZETU CHINA NA URUSI WALITUTANGULIA NA SASA WANAPAA KIMAENDELEO. [emoji1241]
Ndugai akisema apende asipende lazima watamwongezea.Mwenyewe alishasema hataongeza hata dakika, wewe unasema aongezewe.