Bunge likutane haraka kuondoa ukomo wa mgombea Urais Tanzania

Ukinywa mipombe michafu halafu ukalala na njaa lazima asubuhi uamke na mawazo ya kuzimu tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni muislamu?
Waislamu wengi sio wote ni mazuzu Ndio maana hata jiwe kawafyeka serikalini
Mpo wawili watatu tu sasa
 
Siku ukipata rais bogus sijui utafanyaje?
 
Hii sio siri. Ndugai alishasema hili litafanyika baada ya uchaguzi. Hata wizi wa kura wa kufuru uliofanyika ulikuwa in mwendelezo wa mpango huu!
 
Sio kila mada ni ya kujadiliwa,nyingine ni za kusikilizwa na kupuuzwa tu.
 
It is very possible that you have seen the marks on the wall. Preparations have been on for long time since the 2019 civic elections. Uchafuzi wa 28/10 ulikuwa mojawapo ya mapito kuelekea urais wa "Myaya". Let's wait to see.
 
Kwanini wasikutane haraka kuondoa ukomo wa kuishi.waondoe kifo?
 
Mwenyewe alishasema hataongeza hata dakika, wewe unasema aongezewe.
Unaamini? Shs.50m kila kijiji? Uchaguzi huru na haki wa serikali za mitaa? Uchaguzi huru na haki wa 28/10? Sala na maombi vimeyeyusha Corona? Bado unaendelea kuamini tu?
 
Unawazo zuri.ebu nikuulize jambo moja uamuzi huo ni ajiri ya Magufuri tu au hata maraisi wengne walikukosha? Kama ni Magufuri tu huoni kuwa Kama kusingekuwà na kuachia madaraka mpaka mtu afe Hata Magufuri asingekuwa Rais?
 
Mimi naona Mungu angefanya kumpenda kiumbe wake wengine tupumue basi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa naelewa umelenga nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…