Bunge likutane haraka kuondoa ukomo wa mgombea Urais Tanzania

Limfanye mfalme kabisa na bunge livunjwe kila kitu kiendeshwe kwa neno la mfalme mtukufu.
 
Sawa mkuu tumekusoma weka namba zako za simu kuna nafasi ya ukuu wa wilaya Ipo wazi
 
Au tufanye uongozi utoke kwa familia ya mkulu tu maana ameonesha uongozi uliotukuka huenda hata watoto wake wakawa kama yeye ... iwe monarch
 
Tatizo la kunywa mataputapu halafu unaingia jamiiforums, huu upuuzi ondoa haraka
Dah mtoa mada sijui kafikiria nini wakati mkuu mwenyewe alishasema hatoongeza mda, wazo lake liheshimiwe lakini.
 
Dah mtoa mada sijui kafikiria nini wakati mkuu mwenyewe alishasema hatoongeza mda, wazo lake liheshimiwe lakini.
Kuondoa term limit hakumlazimishi yeye, wala si kwa lengo la yeye kugombea 2025. Ni swala la kuheshimu matakwa ya demokrasia. Kuwapa nafasi wananchi kuchagua kiongozi wanayemtaka bila kujali kawaongoza miaka mingapi.

Muhimu ni awe kachaguliwa kihalali.
 
Aksante DC wa kisarawe
 
Magufuli atawale hadi siku atakapokata moto
 
Magufuli aongezewe miaka 100
 
Meko tutampa ufalme kabisa ili hata likifa mwanawe arithi kiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…