Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

Nitaanza kufuatilia comedy kuanzia sasa "Live "
 
Nani atasikiliza hicho kikao cha CCM, hakina mvuto wowote, gharama za maisha zimepanda wao kazi yao ni kupiga meza tu.
 
Kama wananchi wanatudharau, ni kwanini hamtaki kuruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani?
Kila kitu lazima kiwe na utaratibu wake tatizo mnavurugu mno lazima muwekewe masharti.
 
Asante mama Samia
Japo, bunge bila kambi rasmi ya upinzani halinogi.
(Naongelea upinzani haswa)
 
kilio chenu kimesikika bado mmeanza kuleta sababu zingine yaani akili zenu mnazijuwa wenyewe ni sawa na demu unaingia naye mpaka gest halafu anakuuliza humu tunakuja kufanya nini?
Msikwepeshe mada..kilio cha chadema ni katiba mpya sio bunge mubashara
 
Babu tale.
Mwana FA..... + 360

Kweli nikae kupoteza muda kuangalia upuuzi huo wa CCM??. Hizo pesa wangewapelekea watoto wa kike taulo za kujistili ingefaa sana.
 
Kukataa katiba mpya ndo uchu wa madaraka huo
 
Hili halina hafhi ya kuitwa binge, ndo mana umuhimu wa kuwa live kwa wananchi haupo.
Mnajua ila mnatuzingua tu
 
Bora wasingeonyesha tu,mana hadi watoto wangu walianza kunipiga baada ya kuwaona watu wazima wakipigana live bungeni
Kumbe watoto wako wamekulanda kukosa akili?
Wakiona watu wanapigana kwenye TV wsnakuja kukupiga loh, hawa watoto wnaakili tahira kama mzazi wao.
DNA hizo zifutwe wasije ambikizwa wengine.
 
tatizo lenu hata wananchi wanaanza kuwadharau hamn agenda za muhimu za kumnufaisha mwananchi na mtaendelea kuwa wapinzani daima maana hamjijengi kwa wananchi mnalazimisha kuwahi kufika madarakani ambako bado mbali sana kwenu
Kwani sisi si ndo wznanchi?
Unatakawananchi gani?
Au unataka wanachama wa CCM tu?
 
Mkutano wa CCM sio bunge la Wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…