Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Umetumwa kuchokoza mada ili uone reactions za wadau ama nini, kwanini unaita shule ya serikali uchafu, au umetumwa uje uchokonoe mada na wanaotamani eneo Hilo?
 
Nadhani mleta mada una kaulimbukeni fulani
 
Somehow ulikuwa na hoja ila lugha ulotumia si nzuri, let's say ungeshauri mamlaka husika zikafanyia marekebisho hiyo shule lakini kuhitimisha iondoke wewe upo nyuma ya keyboard ila kuna watu pasipo kutarajia inawasaidia ile shule.
 

Kwamba Tanzania nzima shule iliyo kwenye mzunguko wa watu ni bunge tu???
Nyingine zimetengwa na wababa watu wazima?? 😁😁😁
Shule nyingine ni porini hakuna magari
 
Serikali ni hao hao unaotarajia wafanyie kazi maoni yako.
Wafanyie kazi maoni yangu kwani mimi ni mwana CCM?? Au mimi ni mtoto wa Samia/JK/JPM??

Sijaandika kwa lengo la mada hii kufanyiwa kazi, I just wrote it..
 
Vp kuhusu rush hours asubuhi na jioni kwa usalama wa watoto na private cars??

For so long as kuna movement ya watu wazima na watoto katika compounds za shule kwa kisingizio cha lunch, kuna risks kubwa sana ya sexual harassment pale..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…