Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Ni wazi mtoa mada ana hasira mwanae amekataliwa kusoma hapo Bunge, otherwise andiko lako ni la kijinga na inaonesha ni jinsi gani maskini na maskini wanavyochukiana
 
Ingekuwa ni rahisi kusoma nje ya mji badala ya pale as they will be moving against traffic in the morning and afternoon
Kama kuna wakazi wa pale City centre kwanini wasiweke shule na wa huko nje ya mji waweke shule kama ile jirani.
Tusihamishe au kupunguza shule mahali popote Ila tuziongeze kila mahali.
 
Kwahiyo city centre ikitanuka mpaka kariakoo tuendelee kuhamisha shule mpaka zianzie shaurimoyo kwenda pembeni?
 
Watu mna wivu sana hamtaki watoto wenu wabadili mazingira. Unataka muda wote wakae huko buza tu.

Lakini hapo Posta hasa eneo la bunge primary kuna nini cha maana ambacho kitazuia watu wasifanye kazi zao.

Kwangu naona hapo watoto wanapata exposure na kuwapa motivation
 
Lugha ya matusi ni ya nini?
 
WEWE NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO HAPA JF... unastahili life ban. Huu upumbavu wa kuvunjavunja majengo ya zamani na kujenga frem za biashara ni ushenzi ninaoupinga mno. Kwanini tunaharibu utambulisho wa miji yetu kiholela? Huo uwekezaji si ukafanyike huko Mapinga na maeneo ya nje ya mji? Mabeberu pamoja na maendeleo yao bado watunza miji yao na hakuna bomoa bomoa za kijinga. Kwa hizi akili zetu za sasa nadhani UDSM ingejengwa Magomeni ila kwa maono ya Mwalimu Nyerere na wenzake wakajenga nje ya mji. Sisi tulitakiwa tuone mbali zaidi ya waasisi ila ndo tumerudi nyuma kifikra kwa sababu ya tamaa na ulafi.
 
Sasa hizo tai unakuta imevutwa na kulegea kama ulimi wa mbwa😀
At least ingekuwa ni private school hapo sawa, ila shule ya serikali ya bei poa, lazima tu itakuwa ni uchafu..
 
A few maters away from the state house, unakutana na shule chafu na chakavu katika kiwanja chenye thamani ya billions of shillings..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…