Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Ni wazi mtoa mada ana hasira mwanae amekataliwa kusoma hapo Bunge, otherwise andiko lako ni la kijinga na inaonesha ni jinsi gani maskini na maskini wanavyochukiana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaokaa posta watoto wetu wakasome wapi jamani 🙂
Sioi tena dada yako..Ni wazi mtoa mada ana hasira mwanae amekataliwa kusoma hapo Bunge, otherwise andiko lako ni la kijinga na inaonesha ni jinsi gani maskini na maskini wanavyochukiana
Unakazia nini sasa hapo mkuu??..NAKAZIA
Unakazia nini sasa hapo mkuu??.
Ni nani anayeweza kumudu kukaa Posta na familia yake atakayeshindwa kupeleka mtoto private school??Wakazi wa Posta watoto wao wakasome wapi?
Kama kuna wakazi wa pale City centre kwanini wasiweke shule na wa huko nje ya mji waweke shule kama ile jirani.Ingekuwa ni rahisi kusoma nje ya mji badala ya pale as they will be moving against traffic in the morning and afternoon
Kimanzichana itapendezaTunaokaa posta watoto wetu wakasome wapi jamani 🙂
na zile tai zao ni hasara mno🤣😂Wakasome wanaposoma wa jirani yako GSM.
Watoto wa bunge ni wakorofi, wakivamia mwendokasi ni kero tupu.
Sasa hizo tai unakuta imevutwa na kulegea kama ulimi wa mbwa😀Waliwalazimisha kuvaa tai ili watoto wafanane na mazingira ya city center, ila imeshindikana.
Lugha ya matusi ni ya nini?Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.
Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?
Ni mtoto yupi anayesoma primary ya Bunge ni mkazi wa eneo lile lililojaa ofisi za serikali?
Uwepo wa shule kama Bunge huleta msuguano tu wa kimaslahi kwa maana ikifika December, kila mzazi anayefanya kazi Posta, mwenye IST anataka mwanae akasome Bunge. What for.
Hata kama ni shule, basi mpeni muwekezaji binafsi atakayeweza kumaintain mazingira pamoja na usafi wa wanafunzi kama zilivyo shule zingine za private za English Medium lakini sio kuweka shule uchafu katika eneo potential kama Posta Mpya (A few kilometers from the state house)
SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..
WEWE NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO HAPA JF... unastahili life ban. Huu upumbavu wa kuvunjavunja majengo ya zamani na kujenga frem za biashara ni ushenzi ninaoupinga mno. Kwanini tunaharibu utambulisho wa miji yetu kiholela? Huo uwekezaji si ukafanyike huko Mapinga na maeneo ya nje ya mji? Mabeberu pamoja na maendeleo yao bado watunza miji yao na hakuna bomoa bomoa za kijinga. Kwa hizi akili zetu za sasa nadhani UDSM ingejengwa Magomeni ila kwa maono ya Mwalimu Nyerere na wenzake wakajenga nje ya mji. Sisi tulitakiwa tuone mbali zaidi ya waasisi ila ndo tumerudi nyuma kifikra kwa sababu ya tamaa na ulafi.Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.
Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?
Ni mtoto yupi anayesoma primary ya Bunge ni mkazi wa eneo lile lililojaa ofisi za serikali?
Uwepo wa shule kama Bunge huleta msuguano tu wa kimaslahi kwa maana ikifika December, kila mzazi anayefanya kazi Posta, mwenye IST anataka mwanae akasome Bunge. What for.
Hata kama ni shule, basi mpeni muwekezaji binafsi atakayeweza kumaintain mazingira pamoja na usafi wa wanafunzi kama zilivyo shule zingine za private za English Medium lakini sio kuweka shule uchafu katika eneo potential kama Posta Mpya (A few kilometers from the state house)
SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..
At least ingekuwa ni private school hapo sawa, ila shule ya serikali ya bei poa, lazima tu itakuwa ni uchafu..Sasa hizo tai unakuta imevutwa na kulegea kama ulimi wa mbwa😀
....na ndio zinazowaongezea uchafuna zile tai zao ni hasara mno🤣😂
A few maters away from the state house, unakutana na shule chafu na chakavu katika kiwanja chenye thamani ya billions of shillings..Watu mna wivu sana hamtaki watoto wenu wabadili mazingira. Unataka muda wote wakae huko buza tu.
Lakini hapo Posta hasa eneo la bunge primary kuna nini cha maana ambacho kitazuia watu wasifanye kazi zao.
Kwangu naona hapo watoto wanapata exposure na kuwapa motivation
Ni nani anayeweza kumudu kukaa Posta akashindwa kumpeleka mwanae akasome katika private school??Kuboresha shule na masharti ya kujiunga na shule Sawa ila sio kuhamisha