Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Ni ile tu shule ipo Katikati ya ofisi za serikali pamoja na Mita kadhaa kutoka ukuta wa Ikulu, basi wazazi wanapagawa sana, plus kiingereza uchwara cha ada nafuu..
Like wanaosoma udsm wanaona wao ndo the best lkn pale Kuna college nyingi nyingi

Nilikutana na mwanafunzi wa business school.... Shahada ya uhasibu na mwingine shahada ya uhasibu IFM ni course moja Ila yule wa ud Kuna vitu yupo shallow sana! Lkn bado wanaonekana Bora kwakuwa ni university!!

Tuhitimishe hivyo
 
Mimi naona watu wote dar mhamishwe kupisha uwekezaji maana dar ni eneo potensho kwa investments 🤔
 
Tunaokaa posta watoto wetu wakasome wapi jamani 🙂
Vp kuhusu usalama wa watoto wadogo?? Yale mazingira gani ya shule watoto wanachangamana na wababa watu wazima wanaenda kupata lunch pale. Wakibakwa je (Sexual Harassment)??

Kwa zile movements za Magari kwanza ni hatari hata kwa usalama wa wanafunzi wa Darasa la kwanza..
 
Unajua kitaalamu shule inafaa iwe katika mazingira Gani kijiographia na mazingira ya kijamii (social sorounding)??..
Hao hao walioainisha na kuvisimimamia hivyo vigezo ndo wenye hiyo shule.

Na ukitaka kusimamia hivyo vigezo, umewaza ni shule ngapi zitahitaji kuondolewa?
 
Ni afadhali wangeondoa huu uchafu waiache Forodhani. Hii shule mm nilidhani labda imeishamishwa kumbe bado ipo? Inashangaza sana. Shule nyingine inayopaswa kuondoshwa ni ya Kisutu Primary Shool. Ule nao ni uchafu tu, sawa na Bunge.
 
Kwani umemuelewa hoja yake au unakurupuka tu kuandika utopolo? Huwezi kuwa na uchungu na watoto wa wengine ila watoto wako tu mkuu? Roho mbaya hiyo.
Wengi walio comment katika mada hii ni watu wa hovyo sana mkuu. Trust me..
 
Ni afadhali wangeondoa huu uchafu waiache Forodhani. Hii shule mm nilidhani labda imeishamishwa kumbe bado ipo? Inashangaza sana. Shule nyingine inayopaswa kuondoshwa ni ya Kisutu Primary Shool. Ule nao ni uchafu tu, sawa na Bunge.
Upo sahihi sana mkuu..
 
Hao hao walioainisha na kuvisimimamia hivyo vigezo ndo wenye hiyo shule.

Na ukitaka kusimamia hivyo vigezo, umewaza ni shule ngapi zitahitaji kuondolewa?
Hata kama ni shule 10 zinatakiwa kuondolewa, acha ziondoke tu for so long as hazina vigezo vya kitaaluma na kimazingira.

Kuhusu usalama wa watoto wadogo umegoma kabisa kunipa jibu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…