Hekima zimeanza kukuisha mkuu
Nmecheka had bas khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora livunjwe warudi majimboni angalau na sisi raia tupate hizo rushwa ndogo ndogo kama pilau, pesa za ugoro,kofia na mengineyo maana tumezi 'miss' kwa muda mrefu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwetu ni Jenister Mhagama saiv 25 lakin hali n mbaya, na hajali couz hakna mbadala. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ila watu wa Hanang yaani Mary Nagu kwenu hana mbadala miaka 25 mnavyoteseka na huduma za afya maji ya kwenye michanga maeneo mengine hata magari hayafiki
1. Sir George KahamaKuna makosa kwenye hiyo miaka ya utawala wa maspika nakushauri pitia kwenye tovuti ya bunge then urekebishe mkuu
By the way bandiko lako zuri
Hivi alikuwepo bungeni leo?Hivi mwenyekiti anaendeleaje na mguu?
Unafufua vipi kitu ambacho hakijafa? ungeniambia kusisimua ningekuelewa, huna ulijualo.Tatizo ni kwamba,hakuna fedha zilizoidhinishwa na bajeti kwa ajiri ya kufufua uchumi kutokana na athari za janga la corona.
Unalielewa hilo?
Khaaaaaah na unauliza kabisaaa? Nmecheka had bas lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] technology hamuiwez kaa kwa kutulia tyuuh.Anasoma kwenye nn?
Mmh ajira 6,000,000!! Mbona naona wasio na kazi ndo wameongezeka mtaani
Uhuru wa kutukana haupo na hautakuwepo! Ujieleze Nini Sasa!Kilichofanyika kikubwa ni kubana uhuru wa kujieleza tu!
Kamuulize aliyelizuia!Naomba nisaidiwe, hivi kuzuia bunge lisionekane live kwa wananchi wakati wa mijadala, halafu siku ya kulivunja unarusha live inaleta maana?..najaribu kuwaza!
Hivi bado huwa mnawaamini wanasiasa,jamaa anakwambia maelfu ya viwanda vimeanzishwa katika awamu yake....mi nasubiri tu iyo siku watakayotoa iyo list ya viwanda wanavyodai vimeanzishwaKutoka vijiji 2000 mwaka 2015 vyenye umeme hadi vijiji 9000 hii ni speed kubwa, huyu jamaa ukiachilia mambo mengine ila utendaji kazi wake ni mzuri, hotuba yake kagusa kila mahali.
Kwani chato corona haifiki?Kule Chato ilikuwa sio kukimbia?
Kumbe unajua anachoumwa kamtibu basi!Hicho sio kikohozi cha kubana hewa, ni kikohozi cha kuumwa. Kina muda sasa toka akiwa Chato.
Hakuna asiye pinga kila kitu! Wabunge wa upinzani ‘waasi’ wamepinga chama chao, wapinzani wa ukweli wamepinga ccm na serikali yake, na ccm wamepinga wapinzani!! Au kuna hoja yoyote ya upinzani ccm wameikubali? Kama hakuna, wamepinga kila kitu, pia!! Ni mtazamo tu!Wabunge wa kupingapinga kila kitu…….....wamepewa za uso.