Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Thread yako inatoa kumbukumbu nzuri ya matukio.

Hili litakuwa ni bunge la mwisho lenye wabunge wengi wa upinzani.

Hali halisi inaonyesha bunge lijalo litakuwa na wabunge wachache sana wa upinzani huku likiongozwa na KUB mpya!
Kwahiyo huo ni upinzani au kikundi cha wadada wa tot band ccm,ndio awamu iliyojaa wajinga
 
mkuu,nitajie mkoa uliopo na viwanda kumi tu vilivyoanzishwa mkoani kwako
Ingawa kuhesabu ndio shida, Ila kama umekuwa unasafiri safiri na barabara hasa Dar to Bagamoyo, Bagamoyo to Tanga, na Dar to kibaha, Kibaha to Morogoro, maeneo haya Yana utitiri wa viwanda vipya mkuu, sjajua huko uliko mkuu

Eneo hasa la mikoa ya Pwani, ndio kumejaa viwanda vingivingi vipya
 
Mtandao wa YouTube umeelezea kuwa zaidi ya watu milioni 600 duniani kote walifuatilia hotuba ya Rais Magufuli leo akilivunja bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, aidha zaidi ya mataifa 80 duniani kote walikuwa online kufuatilia kile alichokuwa anahutubia bungeni leo, marais 50 duniani kote waliungana na mtandao wa online kusikiliza hotuba ya Rais Magufuli ambapo Waziri Mkuu wa uingereza Borris Johnson leo alizuia shughuli zote za kiserikali kwa muda wa masaa matano mpaka hotuba ilipikamilika, Waziri Mkuu wa India, Waziri Mkuu wa ujerumani Angel Merkel, Rais wa China, Rais wa Russia na Donald Trump waliungana na mamilioni ya wananchi kutoka sehem mbalimbali duniani kuskiliza hotuba ya Magufuli leo, Katika tovuti moja nchini Thailand leo imemtangaza Rais Magufuli kama Rais bora wa karne hii ya 21 huku jarida la siasa na uchumi nchini Uingereza limemtangaza Rais Magufuli kama "Genius" wa maendeleo na problem solver...

Watanzania Mungu ametubariki kuwa na Rais Kama Magufuli tuna imani na Magufuli,VIVAAA Magufuli VIVAAAA.....

IMG-20200616-WA0079.jpeg
 
Huyu mzee leo kaongea uongo mwingi yani sijui huwa anatuonaje.
 
Ingawa kuhesabu ndio shida, Ila kama umekuwa unasafiri safiri na barabara hasa Dar to Bagamoyo, Bagamoyo to Tanga, na Dar to kibaha, Kibaha to Morogoro, maeneo haya Yana utitiri wa viwanda vipya mkuu, sjajua huko uliko mkuu

Eneo hasa la mikoa ya Pwani, ndio kumejaa viwanda vingivingi vipya
Kutokana na takwimu za serikali viwanda 8000 vimeanzishwa katika awamu hii,huu ni wastani wa viwanda karibia 300 kila mkoa...ukinitajia viwanda kumi tu vilivyoanzishwa katika mkoa wako nitaamini kweli kuna viwanda 8000 vipya hii nchi
 
[SUB]Youtube mpaka sasa Views 55,000 Tu kama mijadala yetu hapa [/SUB]
 
Back
Top Bottom