Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha halima na ester Hawa walijiweka wazi.View attachment 1480716
Kuhusu mataifa mengine kumuiga hatua za corona nazo utakataa
Kuhusu Trump kuzungumza alichozungumza Magufuli utakataa?
Kama hawamfuatilii wanatumiaje hagua zake?
Coincedence?
Muachage undezi, nje wanamkubali wewe unamkataaje
Unajua server wewe?Taarifa FEKi Kama hii zinajaza server bure
Lete source siyo unakata mauno hapa
Kumbe Angela Merkel ni Waziri Mkuu Wa Ujerumani?
Asante kwa kunijuza..
upo sahihi akili yangu imedumaa ndio maana nikahitaji uthibitisho wa hizo takwimu zilizoletwa na muanzilishi wa hii thread.Akili yako imedumaa, unafikiri dunia nzima wanajua kuongea kiingereza?
Kwenu taarifa sahihi ni za mbowe kushambuliwaTaarifa FEKi Kama hii zinajaza server bure
Kile cheo na chancellor kwa waziri mkuu ni sawa kumbuka wanarais piaKumbe Angela Merkel ni Waziri Mkuu Wa Ujerumani?
Asante kwa kunijuza..
Hahahaha hadi wewe umekataa hizi sifa!??Hahahaha nimecheeka sana kazi kusimama kwa saa 5 U.K. its not a joke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijijini kwenu wamejaa wachawi tu
Uzuri wa bongo tumechanganya hadi tumechanganyikiwa, yani tumevuruga hadi hadi tukajivurugia humo humo.
Hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kubaki na akili zako.
Watu 600m?? Mnaota nyieBawacha wanaogopa hii hoja maana shigongo anazo picha zao
Huu ni uwendawazimu!!! Mnamdhalilisha Rais bureMungu ni mwema kwa hii zawadi ya rais tuliyopata