Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Bora livunjwe warudi majimboni angalau na sisi raia tupate hizo rushwa ndogo ndogo kama pilau, pesa za ugoro,kofia na mengineyo maana tumezi 'miss' kwa muda mrefu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nmecheka had bas khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila watu wa Hanang yaani Mary Nagu kwenu hana mbadala miaka 25 mnavyoteseka na huduma za afya maji ya kwenye michanga maeneo mengine hata magari hayafiki
Kwetu ni Jenister Mhagama saiv 25 lakin hali n mbaya, na hajali couz hakna mbadala. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Tatizo ni kwamba,hakuna fedha zilizoidhinishwa na bajeti kwa ajiri ya kufufua uchumi kutokana na athari za janga la corona.
Unalielewa hilo?
Unafufua vipi kitu ambacho hakijafa? ungeniambia kusisimua ningekuelewa, huna ulijualo.
 
Mmh ajira 6,000,000!! Mbona naona wasio na kazi ndo wameongezeka mtaani
 
Kutoka vijiji 2000 mwaka 2015 vyenye umeme hadi vijiji 9000 hii ni speed kubwa, huyu jamaa ukiachilia mambo mengine ila utendaji kazi wake ni mzuri, hotuba yake kagusa kila mahali.
Hivi bado huwa mnawaamini wanasiasa,jamaa anakwambia maelfu ya viwanda vimeanzishwa katika awamu yake....mi nasubiri tu iyo siku watakayotoa iyo list ya viwanda wanavyodai vimeanzishwa
 
Wabunge wa kupingapinga kila kitu…….....wamepewa za uso.
Hakuna asiye pinga kila kitu! Wabunge wa upinzani ‘waasi’ wamepinga chama chao, wapinzani wa ukweli wamepinga ccm na serikali yake, na ccm wamepinga wapinzani!! Au kuna hoja yoyote ya upinzani ccm wameikubali? Kama hakuna, wamepinga kila kitu, pia!! Ni mtazamo tu!
 
Ahsante Wabunge 2015/20 wa Bunge la 11 kwa kulitumikia Taifa letu lakini Bungeni lenu lilikuwa dhaifu!
 
Back
Top Bottom