Sijawahi sikia chadema walipinga hii hoja ya kulana wao kwa wao.Angekuwa Lissu na habari zake za mapenzi ya jinsia moja ungekubaliana nayo
Ndio kinachofuataWakiufuta leta uzi kuhusu Mbowe.
Sijawahi sikia chadema walipinga hii hoja ya kulana wao kwa wao.
Akili yako imedumaa, unafikiri dunia nzima wanajua kuongea kiingereza?kwani alitumia kiingilishi?
AmenSifa na utukufu zimrejee Jehova aliyetupatia kiongozi kama huyu.. Mwenyezi Mungu amrejeshe tena kwa ngwe ya pili aendelee kupiga kazi... Mungu ambariki sana kiongozi wetu mh Rais Magufuli.
Huku kijijini kwetu hakuna aliejihangaisha kufuatilia hutuba ya kampeni ya Mzee meko
Bawacha wanaogopa hii hoja maana shigongo anazo picha zaoSijawahi sikia chadema walipinga hii hoja ya kulana wao kwa wao.
Twende mbele na kurudi nyuma
Kuna watu wanastahili pongezi nyingi sana, wamefanya kazi kubwa sana kumfanya magu awe presentable.
Yaani mwaka 2015 hakuwa kabisa na ule muonekano wa kiongozi mkuu wa nchi.
Wameshakula hela ya bosi inabidi waandike chochoteSometimes jifunzeni kuleta uwongo wenye akili sio huu ugoro
Na mimi leo "nimesimamisha" kwa masaa matano huko Kisarawe!Mtandao wa YouTube umeelezea kuwa zaidi ya watu milioni 600 duniani kote walifuatilia hotuba ya Rais Magufuli leo akilivunja bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,aidha zaidi ya mataifa 80 duniani kote walikuwa online kufuatilia kile aluchokuwa anahutubia bungeni leo,marais 50 duniani kote waliungana na mtandao wa online kusikiliza hotuba ya Rais Magufuli ambapo Waziri Mkuu wa uingereza Borris Johnson leo alizuia shughuli zote za kiserikali kwa muda wa masaa matano mpaka hotuba ilipikamilika,Waziri Mkuu wa India,Waziri Mkuu wa ujerumani Angel Merkel,Rais wa China,Rais wa Russia na Donald Trump waliungana na mamilioni ya wananchi kutoka sehem mbalimbali duniani kuskiliza hotuba ya Magufuli leo,Katika tovuti moja nchini Thailand leo imemtangaza Rais Magufuli kama Rais bora wa karne hii ya 21 huku jarida la siasa na uchumi nchini uingereza limemtangaza Rais Magufuli kama "Genius" wa maendeleo na problem solver...
Watanzania Mungu ametubariki kuwa na Rais Kama Magufuli tuna imani na Magufuli,VIVAAA Magufuli VIVAAAA.....
Mods mtaufuta uzi wangu View attachment 1480672
Hahaha halima na ester Hawa walijiweka wazi.Bawacha wanaogopa hii hoja maana shigongo anazo picha zao
Kuhusu mataifa mengine kumuiga hatua za corona nazo utakataaSometimes jifunzeni kuleta uwongo wenye akili sio huu ugoro
Sifa na utukufu zimrejee Jehova aliyetupatia kiongozi kama huyu.. Mwenyezi Mungu amrejeshe tena kwa ngwe ya pili aendelee kupiga kazi... Mungu ambariki sana kiongozi wetu mh Rais Magufuli.