Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Kumbe Angela Merkel ni Waziri Mkuu Wa Ujerumani?

Asante kwa kunijuza..
 
Lete source siyo unakata mauno hapa
Kuhusu mataifa mengine kumuiga hatua za corona nazo utakataa

Kuhusu Trump kuzungumza alichozungumza Magufuli utakataa?

Kama hawamfuatilii wanatumiaje hagua zake?

Coincedence?

Muachage undezi, nje wanamkubali wewe unamkataaje
 
Hapa ndiyo wadau wanabaki wanajiuliza, bangi iruhusiwe au la!
 
Akili yako imedumaa, unafikiri dunia nzima wanajua kuongea kiingereza?
upo sahihi akili yangu imedumaa ndio maana nikahitaji uthibitisho wa hizo takwimu zilizoletwa na muanzilishi wa hii thread.

watu millioni 600 wameifuatilia hotuba ya raisi magufuli mchana wa leo huko youtube.
ina maana raisi magufuli amevunja rekodi ya BTS na wajinga wengine na kuweka ya kwake
 
Ufipa ndio wamechanganyikiwa
Uzuri wa bongo tumechanganya hadi tumechanganyikiwa, yani tumevuruga hadi hadi tukajivurugia humo humo.
Hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kubaki na akili zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…